(PICHA) Mwakyembe: Mjadala wa AFYA yangu UMEFUNGWA 'FULL STOP'

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Hapa mwakyembe akiwasili kwa nguvu zote

DSC_0043.JPG

Hapo mwakyembe akielekea ofisini

DSC_0087.JPG

Mwakyembe akiongea na waandishi wa Habari na kunena kuwa mjadala umefungwa full stop hakuna mtu kujadili tena afya yake inaendelea vizuri

DSC_0081.JPG
 
Hapa mwakyembe akiwasili kwa nguvu zote

DSC_0043.JPG

Hapo mwakyembe akielekea ofisini

DSC_0087.JPG

Mwakyembe akiongea na waandishi wa Habari na kunena kuwa mjadala
umefungwa full stop hakuna mtu kujadili tena afya yake inaendelea vizuri
DSC_0081.JPG
Wewe mnafiki ukiwa umezidiwa kule India ulituahidi wadanganyika kuwa utakuja kulipua kila kitu vipi ni lini uta lipua au kazi hiyo umemwachia mnafiki mwezako Sitta....
 
Afya inaendelea vizuri, kwanini anavaa kofia ofisini na joto lote hili? Hii kitu ikishaingia kwenye bone marrow ni mgogoro sana! Hata hivyo nakutakia kila kheri, damu asimame nawe.
 
Haya baba. Tumekuzoea kwa kuficha mambo ukianzia na Richmond.

Kwa kweli huyu ndugu ni mnafiki sana,kabla ya kuanza kuugua alitoa report/ttaarifa ya kutaka kuuawa na al shaabab,baada ya kuugua ndio akazidi kubwabwaja pasipo maelezo yoyote yenye rutuba na sasa ndio amekuja na hitimisho la unafiki. Najiuliza:
1) Mwanzo mara zote alikuwa anatoa tuhuma kwa uuma ili iweje kama sio unafiki wa kutoiamini serikali na kutaka huruma ya wananchi??
1)ikiwa mda wote huo amekuwa akitibiwa kwa kutumia kodi za wavuja jasho la wananchi (bare in mind wabunge hawakatwi kodi mishahara yao na masurufu yao kibao wakati hatamfagizi wa ofisi ya umma/binfsi anakatwa kodi), kwa nini wananchi wasipewe taarifa ya sababu na matokeo ya kodi yao??
3) anaendelea kufanya kazi kwa ufanisi upi ikiwa alisema mwenyewe alilishwa sumu ofisini?? Ana uhakika gani wa kutokumbana tena na matatzo ya usalama ikiwa hana imani na kina Manumba??
4) Katika hili kwa nini tu asishitakiwe na kina Manumba,yeye na Sita wake kwa kutoa kauli za kuhatarisha na kuichonganisha serikali/polisi na umma!!

Mwakiembe ni mnafiki na mchumia tumbo!!!
 
Ataacha kukaa kimya na yeye ni mchumia tumbo tu. Sasa hapo ndio amejua yeye si kitu mbele ya mafisadi. Tena inabidi akae kimya vinginevyo hata huo unaibu ataukosa wakati wa baraza litakapo badilishwa hivi karibuni na hamna kitu atafanya. Ukishakuwa chama cha wanafiki na wewe unakuwa mnafiki +
 
Kwa kweli huyu ndugu ni mnafiki sana,kabla ya kuanza kuugua alitoa report/ttaarifa ya kutaka kuuawa na al shaabab,baada ya kuugua ndio akazidi kubwabwaja pasipo maelezo yoyote yenye rutuba na sasa ndio amekuja na hitimisho la unafiki. Najiuliza:
1) Mwanzo mara zote alikuwa anatoa tuhuma kwa uuma ili iweje kama sio unafiki wa kutoiamini serikali na kutaka huruma ya wananchi??
1)ikiwa mda wote huo amekuwa akitibiwa kwa kutumia kodi za wavuja jasho la wananchi (bare in mind wabunge hawakatwi kodi mishahara yao na masurufu yao kibao wakati hatamfagizi wa ofisi ya umma/binfsi anakatwa kodi), kwa nini wananchi wasipewe taarifa ya sababu na matokeo ya kodi yao??
3) anaendelea kufanya kazi kwa ufanisi upi ikiwa alisema mwenyewe alilishwa sumu ofisini?? Ana uhakika gani wa kutokumbana tena na matatzo ya usalama ikiwa hana imani na kina Manumba??
4) Katika hili kwa nini tu asishitakiwe na kina Manumba,yeye na Sita wake kwa kutoa kauli za kuhatarisha na kuichonganisha serikali/polisi na umma!!

Mwakiembe ni mnafiki na mchumia tumbo!!!
Kama POLISI hawataki kuongea ukweli,ulitaka Mwakyembe aseme nini?Au ukienda MAHAKAMANI wakasema ushahidi wako hautoshelezi utafanya nini?
 
Sasa alichokuwa anamlalamikia Manumba ni nini wakati afya yake ni nzuri?? Alitaka kutafuta umaarufu wa kisiasa???
 
mleta maada hajatutendea haki, haiwezekani press conference aongee kwa kifupi hivyo, tuletee details zote.
 
Ameonywa huyo...akafie mbele. Kimya kimya utasikia alishavuta huyu. Mpiganaji ndani ya magamba, wapi bwana. ndiyo...kwisha, full stop!
 
Back
Top Bottom