Picha: MTANGAZAJI JOYCE KIRIA AOMBA AFAHAMISHWE ALIPO MUMEWE HENRY KILEO..

Kifungu kipi hasa unachokiongelea hapa?

Kama huna muda wa kunipa explanation JF umekuja kufanya nini?

Nikisema kwamba suala si kuwa huna muda (muda unao ndio maana umejibu, umetafuta pdf, umei link hapa) bali huna specifics, utakataa?

Nataka kuanza kuiangalia a legal case, kama tuko mahakamani, tuangalie kipengele kimoja baada ya kingine.

Ukishindwa kunipa kipengele cha sheria kinachotumiwa hapa, umekubali kwamba kipengele hicho hakipo.

Kwa hiyo hatujui kama sheria hiyo ipo.

Isitoshe, hata kama sheria ipo, wananchi wana haki ya kuzipinga sheria dhalimu zinazohalalisha serikali kuwakamata wananchi bila maelezo kwa kisingizio cha ugaidi.

Kiranga kamata vilaza hawa.
 
khenry kileo sio gaidi,,,,magaidi wapo goantenamo bay,,,hii picha yakuigiza tu,,,nikuwazalilisha watu na kuwafedhehesha tu,,,,,eti gaidi anapelekwa tabora,,,,acheni kuwatisha raia na kuwapotezea haki zao zakimsingi....
 
Yuko kwenye HEAT huyu dada.HILI JOTO HASIRAAAAAAA, si amtafute chini ya mashuka kitandani kwake!!!!!!!!!!!!
 
Kwekwekwe.... Waandamanaji bwana hata wakiwa 4 wataandamana tuuuuu. After all, si mchaga huyu!!!!????
 
Kuna sababu gani mtanzania wezagu unajadili kitu ambacha akikuusu ww hauna kazi yakufaya acha ujiga dada komaa niaki yako ya ndoa kuipata kama kuna. mtu anataka ahipate bas
 
Ni wakati wa serikali kukomesha vitendo vya ugaidi vinginevyo nchi itazidi kuyumba.
Mwana hawezi kutenda jambo ila kwa ridhaa ya baba yake.
vilevile mtumwa hawezi kufanya jambo ila kwa ridhaa ya bwana wake
Nadhani kwa msemo huo mtakuwa mmenielewa.

Huyu si ndie yule aliyefukuzwa CHADEMA kwa kula njama za kukihujumu chama, then hawezi kuwa balanced kwenye comments zake.
 
naona bango za haki za wanawake.... mumewe hazimuhusu mpaka pale atakapojibu mashtaka na haki ikatendeka... yaani huyu mama sijui vipi anampigani mumewe kwa mgongo wa haki za wanawake... au huyo mumewe ni mwanamke mwenzie

Nataka nikuoe wewe
 
Kwekwekwe.... Waandamanaji bwana hata wakiwa 4 wataandamana tuuuuu. After all, si mchaga huyu!!!!????

Kwa hiyo wewe muha na M.kwe.re mupo kwa raha zenu haya amefungwa pingu mbingu imefunguka kwamba M.kwe.re kahama ikulu yuko mbinguni ha ha matahira wa siasa umekorogwa na chadema hakuna cha zoka wala kichwa cha othman
 
naona bango za haki za wanawake.... mumewe hazimuhusu mpaka pale atakapojibu mashtaka na haki ikatendeka... yaani huyu mama sijui vipi anampigani mumewe kwa mgongo wa haki za wanawake... au huyo mumewe ni mwanamke mwenzie

👀👂
👃
👅
 
Mtu ana kesi Tabora unafikiri kapelekwa wp Tanga aache upuuzi huyo mwanamke anasubiri aandikiwe barua na polisi ya taarifa kuhusu mumewe
 
Wanaharakati jana wamesema PINDA na CCM ni magaidi,maana ametamka hadharani piga badala ya sheria kuchukua mkondo
 
..Very unfortunate, kuna wanawake wanambeza na kumkebehi huyu dada kwa hatua aliyochukua. Sishangai, ndivyo watanzania tulivyo. Hatujui haki zetu na hatujui kwamba hatujui. Tunajifanya tunajua kila kitu. Hao polisi walikuwa wapi kumkamata muda wote huo toka kipindi cha kampeni Igunga? Kwanin wakati huu ambapo bomu limelipuka Arusha? Wanataka kuwahusianisha viongozi wa chadema na madhila wanayopata wananchi kutoka vyombo vya dola na wahuni wa CCM?

Jeshi la polisi halina ra
fiki-ndo maana trafiki wanatutoa hela wenye magari kila wanapotusimamisha. Hatuoni wanatuonea kwasababu tumetekwa akili. Kama hujawahi kuwa mikononi mwa polisi au nduguyo wa karibu, unaweza kujifanya hamnazo. Tushirikiane kulitakasa jeshi la pilipili (polisi)!

Saluti kwako Joyce Kiria, umeonyesha kwamba unajitambua na unazijua haki zako. Songa mbele uwaelimishe wengi wanaoteswa na jeshi hili la mkoloni.
 
Back
Top Bottom