Picha: Mkutano wa chadema huko Karatu...

Nimefarijika sana sana sana sana kumuona tena ZZK jukwaani na wabunge wenzake. Poleni sana mnaotaka kumgombanisha Zitto na CDM
 
. Am sure with time Zitto atakuwa maarufu Karatu kuliko Slaa.

You gotta be kidding me! ZZK is manipulative as always. CHADEMA in Karatu is like MANCHESTER UNITED in OLD TAFFORD there will always be such a multitude.

I think he is trying to build up confidence for himself. The flip side of his tactic is that if the turn out was low he was going to criticise M4C for focusing on enemy territory while it's "unwelcome at home"

If he had done that in Monduli I would say...now ZZK means business
 
Huyu kijana matata sana, Ana mvuto wa ajabu kwenye kujieleza, dr. Slaa was good ila baada ya kumpata Huyu mama aliyenae binafsi naanza kupata wasi wasi na uwezo wake wa kuhimili unyumba na kazi za chama katika Muda huu, heko zzk msaidie slaa mjenge chama.

Ulichokisema ni ukweli kaka,Licha ya ugeni wangu kwenye siasa lakini Zitto anaonekana ni mwiba mchungu kwa slaa
 
You gotta be kidding me! ZZK is manipulative as always. CHADEMA in Karatu is like MANCHESTER UNITED in OLD TAFFORD there will always be such a multitude.

I think he is trying to build up confidence for himself. The flip side of his tactic is that if the turn out was low he was going to criticise M4C for focusing on enemy territory while it's "unwelcome at home"

If he had done that in Monduli I would say...now ZZK means business

Nasikia anakwenda HAI ndani ya wiki mbili zijazo.Bado anataka kuonesha ana power kiasi gani.Jana kunamtu karopoka Rais wangu Zitto kwenye mkutano
 
kwa hiyo kaka unataka kusema zitto anajeshi kubwa lenye vitengo tofautitofauti,kuna jeshi la anga,aridhini,majini na mgambo wa kuanzisha mapambano?

Nasikia hilo kundi la zitto linawanyima usingizi dr.slaa na mbunge wetu mbowe.
 
naona zitto ameamua kuanza kummaliza slaa kwa kuanza na mashambulizi ya nyumbani kwake. Am sure with time zitto atakuwa maarufu karatu kuliko slaa.
tuvute subira,nasikia anaeleka hai sasa baada ya hapo ni nchi nzima
 
Labda kijana wetu karudi kazini kujenga chama sasa baada ya kumaliza ziara na vasco da gama
 
Huyu Said Kulwa ukitaka kumjua nenda wall page ya Habib Mchange kila siku anawatukana matusi ya nguoni Mbowe/Dr Slaa/John Heche utadhani hakuzaliwa na mwanamke!

Huyu molemo ukitaka kumjua nenda jf tafuta post zibazomuhusu zitto.
Utaona anavyomdhalilisha kamanda zitto kwa kashfa anazoinjinia yeye mwenyewe akushilikiana na ben saanane na mshumbusi huku wakijigamba eti ni inteligensia.
Kwi kwi kwi!
Zitto ndie rais ajae!
 
Nadhani unamaanisha hivi karibuni atakuwa maatufu kuliko chadema. Asike akajikuta anaowahutubia wanatafuta kwenye karatasi ya kura chamacha Zitto. Manake yeye haendi kama chadema,anaenda kama yeye.

Slaa ameshapoteza umaarufu karatu kagombana na mwenyekiti wa halmashauri diwani wa chadema mh maasai kisa ni baada ya dr kumlazimisha maasai aandike jina la mshumbusi kwenye kiwanja ambacho maasai alihangaika halmashauri ili dr awe na nyumba takufikia karatu.jamani mzee atakufa masikini jamani.
 
Jamani inamaana huko karatu hakuna wana JF wakaweka hapa hotuba ya Zitto? Wapi Tumaini Makene? Wapi maofisa habari wa CDM? Hii ni aibu kwa kiongozi mkubwa wa chama kukosa coverage ya kutosha.

Tumaini makene ni ant zitto sana,tukiachana na unafiki alionao na ndio maana kuna siku zitto alimwambia kwamba naomba ninukuu:
Makene wewe ni mwajiliwa wa makao makuu jitahidi kuwatendea sawa viongozi wote wa chama katika sekta yako ya habari.
Mwisho wakunukuu:
Tumaini makene najua anapita humu atayakumbua vizuri sana haya maneno.
Aache kupendelea viongozi ktk kuwapa coverage!
 
Back
Top Bottom