Nimesha zilekebisha mkuu picha nilizolenga kuzi upload ni hizo hapo juu...asante mkuu, lakini naona kuna picha 2 hivi umezi up load zikiwa chini juu bila shaka ni huma error , Mods ziwekeni vizuri.. other wise kama una content za mazungumzo yao tuwekee japo dondoo tuone yaliyoongelewa, tofauti na sweznzetu kila kukicha ni udini udini, ukabila ukanda nakadhalika.. wameshindwa hoja wanaleta viloja...
Watu wa JF bana ukileta maneno hapa hawata kuamini hata ukiwa malaika....
Watu wa JF bana ukileta maneno hapa hawata kuamini hata ukiwa malaika....
source mimi mwenyewe.
kwa wale haters, hapo ni Karatu
Leo.