Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

Ukristo na busara za Gamaliel ndio ustawi wake popote na ndio sababu haujawahi kushindwa.
 
Ndugu, iweni na nia iyo hiyo iliyokuwa ndani ya Kristo; kwani hapo mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu lakini hakuona kule kuwa SAWA NA MUNGU ni kitu cha kushikamana nacho, akuchukuwa namna ya mtumwa akawa mtii hata mauti naam mauti ya Msalaba.

Bwana Ukajitwalie Utukufu - AMEN.
 
Nilazima muwafundshe watoto wenu nidhamu, adabu na ustaarabu. Naamini mtoto wa Kiislam hawezi kkojolea Bibilia kwani wanafundishwa nidhamu , adabu na kuheshimu wengine

Mlikuwa na kawaida ya kukojoa wima tukawafundisha ustaarabu, sasa niwakati muwafundishe watoto wenu, Kama hamtofundisha watoto wenu sehemu za kukojoa chamtamakuni mtaendelea kukiona
 
Tatizo Halihusu hawa MAASKOFU; Tatizo zaidi liko kwenye SIASA za NCHI; Uongozi wa NCHI ndio Unaopaswa Kuweka VIKAO na WAANDISHI wa HABARI kuona ni njia gani ya kutatua TATIZO HILO...

Unataka waumini waingie mtaani kila mmoja aseme kama walivyofanya Ponda na wafuasi wake au?. Kwani makanisa ni ya serikali hayo?. elewa tu wakristo wana wasemaji wao na ndio tunaowasikiliza wakati wa shari au amani. Ukristo ni utaratibu na amani. Wao kusema ni muhimu hata kama serikali itaongea.
 
Nilazima muwafundshe watoto wenu nidhamu, adabu na ustaarabu. Naamini mtoto wa Kiislam hawezi kkojolea Bibilia kwani wanafundishwa nidhamu , adabu na kuheshimu wengine

Mlikuwa na kawaida ya kukojoa wima tukawafundisha ustaarabu, sasa niwakati muwafundishe watoto wenu, Kama hamtofundisha watoto wenu sehemu za kukojoa chamtamakuni mtaendelea kukiona

Duh, ukiwa Rome fanya ya kama waroma..sioni kwanini kwa akili yako timamu uamue chafua hali ya hewa kwa haya.Jiongoze kwa kujitoa katika uyaaminiyo kwa upofu.Waislam wamefanya sana kufuru kwa Biblia duniani kote kwa vile wameaminishwa kuwa imeandikwa na watu na haijatoka kwa Mungu.Ni wachache sana wanaoweza Jiuliza iweje Injili ya Yesu iliyotoka kwa Mungu ipotezwe wakati Mungu kasema Neno lake halipotezwi.Sasa kama haipotezwi nani anayo?Obvious mistari michache ya Quran haiwezi kuwa Injili ya Yesu.Sidhani kama hapa tatizo ni kutofundishwa adabu na ustaarabu,ila kufundishwa kutostaarabika ndipo kulipotufikisha hapa.Ndio maana hata waliofanya mambo kama wamezimwa ubongo bado roho ya Mungu itufanyayo tujutie matendo yetu na kuomba samahani haipo kabisa ktk watu wa kundi hili.

Wazanzibar mnatia huruma kwa vile mmepotoshwa sana,kiasi cha kuwafanya muwe vituko ila kujitambua nikudogo sana.Kukojoa kwa kuchuchumaa mwanamume si salama sana kiafya kama unavyotaka tupotoke kama wewe?Mwanamume kaumbwa aweze tupa mkojo mbali na hivyo kujiweka mbali sana na "splash" inayoweza mrudishia magonjwa kupiti amatone yanaruka baada ya kugonga chini ,ikiwa unapotua mkojo pana infections.Wanawake wanapata sana magonjwa kwa kutumia vyoo vya public visivyo visafi bila uangalifu.Ustaarabu si kufanya vitu vilivyoaminika miaka hiyo kuwa bora katika dunia ya giza ambayo vitu hivyo vimepitwa na wakati.Kipindupindu huwakuta sana watu wanajisafisha kwa maji wanapokwenda haja kubwa halafu hawanawi mikono kwa sabuni na maji mengi.Nyumba nyingi zina vikopo vidogo sana, na maji yake ni machafu tuu kw akukaa sana, achilia mbali kutokuw ana sabuni kabisa.mwisho huacha backeria na virus wabaya ktk makomeo ya milango, huwapa watu kw akupeana mikono n.k.

Hembu amka kidogo na kuachana na fikra za akina ponda za kujisifu kwa ujinga na kulalamikia wanaume wanaojenga nchi ,hata mnapoboa nchi.Hembu jiulize hao wanaochoma makanisa na Shule wamewahi jenga ngapi?wanajua material zilizotumika na labour zimetumia resources kiasi gani?Au elimu yao haitambui hayo?
 
Chadema mbona hawatoi tamko ?? Kushindwa kutoa tamko ni kuonyesha udhaifu na kuonyesha nchi hii hawatoweza kuiongoza..
 
Nilazima muwafundshe watoto wenu nidhamu, adabu na ustaarabu. Naamini mtoto wa Kiislam hawezi kkojolea Bibilia kwani wanafundishwa nidhamu , adabu na kuheshimu wengine

Mlikuwa na kawaida ya kukojoa wima tukawafundisha ustaarabu, sasa niwakati muwafundishe watoto wenu, Kama hamtofundisha watoto wenu sehemu za kukojoa chamtamakuni mtaendelea kukiona

Nakubaliana na wewe kuwa watoto (wote) wafundishwe nidhamu. Na pia ni muhimu sana watoto wakafundishwa ukweli, na sio mambo ya kuwapumbaza. Kama ilivyo kwa wakristo na hata medhebu mengine, pengine ni vema waislam nao wakaangalia aina ya mafundisho wanayopata watoto wao. Ni nani aliyemwambia yule mtoto wa kiislam kuwa ukikojolea kuran utageuka mjusi? Ni mafundisho ya uwongo and it took a 14 years boy to prove ni uwongo! Na huyo mtoto amefundishwa mangapi ya uwongo?
 
Shetani anapokuwa kazini, zaidi ni uharibifu. Hawa ndugu zetu wanafanya kazi ya baba yao. Mungu uwape moyo wa kutumia hekima zaidi kuliko hisia.
 
Amen..tupo pamoja.watashindana nasi lakini hawatashinda! chezea mfumo kristo eeeh! usipime makali ya sime!
 
Tatizo Halihusu hawa MAASKOFU; Tatizo zaidi liko kwenye SIASA za NCHI; Uongozi wa NCHI ndio Unaopaswa Kuweka VIKAO na WAANDISHI wa HABARI kuona ni njia gani ya kutatua TATIZO HILO...

Ila madhara yapo ktk himaya ya maaskofu? next time kipindupindu kikiwatembelea unaweza endelea na laifu tuu tatizo litakuwa siasa za nchi.
 
Duh, ukiwa Rome fanya ya kama waroma..sioni kwanini kwa akili yako timamu uamue chafua hali ya hewa kwa haya.Jiongoze kwa kujitoa katika uyaaminiyo kwa upofu.Waislam wamefanya sana kufuru kwa Biblia duniani kote kwa vile wameaminishwa kuwa imeandikwa na watu na haijatoka kwa Mungu.Ni wachache sana wanaoweza Jiuliza iweje Injili ya Yesu iliyotoka kwa Mungu ipotezwe wakati Mungu kasema Neno lake halipotezwi.Sasa kama haipotezwi nani anayo?Obvious mistari michache ya Quran haiwezi kuwa Injili ya Yesu.Sidhani kama hapa tatizo ni kutofundishwa adabu na ustaarabu,ila kufundishwa kutostaarabika ndipo kulipotufikisha hapa.Ndio maana hata waliofanya mambo kama wamezimwa ubongo bado roho ya Mungu itufanyayo tujutie matendo yetu na kuomba samahani haipo kabisa ktk watu wa kundi hili.

Wazanzibar mnatia huruma kwa vile mmepotoshwa sana,kiasi cha kuwafanya muwe vituko ila kujitambua nikudogo sana.Kukojoa kwa kuchuchumaa mwanamume si salama sana kiafya kama unavyotaka tupotoke kama wewe?Mwanamume kaumbwa aweze tupa mkojo mbali na hivyo kujiweka mbali sana na "splash" inayoweza mrudishia magonjwa kupiti amatone yanaruka baada ya kugonga chini ,ikiwa unapotua mkojo pana infections.Wanawake wanapata sana magonjwa kwa kutumia vyoo vya public visivyo visafi bila uangalifu.Ustaarabu si kufanya vitu vilivyoaminika miaka hiyo kuwa bora katika dunia ya giza ambayo vitu hivyo vimepitwa na wakati.Kipindupindu huwakuta sana watu wanajisafisha kwa maji wanapokwenda haja kubwa halafu hawanawi mikono kwa sabuni na maji mengi.Nyumba nyingi zina vikopo vidogo sana, na maji yake ni machafu tuu kw akukaa sana, achilia mbali kutokuw ana sabuni kabisa.mwisho huacha backeria na virus wabaya ktk makomeo ya milango, huwapa watu kw akupeana mikono n.k.

Hembu amka kidogo na kuachana na fikra za akina ponda za kujisifu kwa ujinga na kulalamikia wanaume wanaojenga nchi ,hata mnapoboa nchi.Hembu jiulize hao wanaochoma makanisa na Shule wamewahi jenga ngapi?wanajua material zilizotumika na labour zimetumia resources kiasi gani?Au elimu yao haitambui hayo?

Naamini kabisa hujui historia ya tanzania, kwa nini usisikilize hutuba za Mchungaji Nyerere? anaeleza ni wakina nani freedom fighter hapa na waliochangia gharama ya uhuru wa TZ. tumeaachia nchi mnaifisadi kila kona bila huruma

Vijana wa KIislam kuanzia Madrasa mpaka majumbani mwao wanafundishwa kuheshimu Jesus/Issa, nitajie ni Muislam gani Tanzania amekojolea au Kuchoma Bibilia?? acha kuropokaropoka
 
Walisemaga chagufco la "Mungu leo imekuwaje,?

Ndio linafanya kazi bado,udhsifu wake unafichua mipango ya muda mrefu sana iliyoandaliwa gizani na sheikh twain.Sasa ni wazi dunia inajua nini kinatokea Tanzania na anayeongea hawezi nyamazishwa kwa kauli nyepesi tuu kuwa "wewe ni mdini", au sijui "ni mfumo Kristu ndio unaonea watu".Sasa hivi mwenye akili anaona.Ponda, basaleh, na wengine si wa leo.Ni wa longtime.Na waislam kibao wanaongea kauli za nusunusu, za kujiepusha na kuepusha dini yako kuwajibika na haya.
 
Dr.WHO,kama umesomea udaktari kweli najua ulipiti somo la 'CRITICAL THINKING' UMESOMA RESEARCH,nafikiri ulitafuta kazi ya kukupa ugali tu na si kuelimika na kufikiri vitu kwa mbali sana,mtoto aliyekojolea hicho kitabu mnayajua maisha yake anaweza akaitwa Yohana kwa kuzaliwa,lakini matendo yake yakawa yanafanana na mtu wa maisha magumu,je umewahi kukutana na watoto wanaoishi huko mbagala,magomeni,tandale,na kunakofanana na huko kamwe hawafanani na wa masaki,mbezi beach,nk,watoto wa kikristo hufundishwa upendo daima kwa jirani,na jirani ktk biblia ni yeyote haijalishi rangi wala dini wala kabila,mara ngapi katika mihadhara ya kiislamu utasikia wanauchambua ukristo wanavyotaka hakuna anayeandamana wala kuharibu msikiti,hupita na kwa utaratibu wa ibada za Kikristo unatakiwa uwasamehe na kisha kuomba maombi yako upate baraka.Kama wakristo wakijibu mapigo kwa kuchoma misikiti,Amani ya nchi itatoweka hata wewe utakiona cha mtema kuni hautasalimika kama si nafsi yako basi ya ndugu zako,think Critically!!!!!
 
Shetani anapokuwa kazini, zaidi ni uharibifu. Hawa ndugu zetu wanafanya kazi ya baba yao. Mungu uwape moyo wa kutumia hekima zaidi kuliko hisia.

Nani kawafundisha tabia ya Kuchoma na kukojolea Qur'an, Yesu angekuwepo asingeridhika na uchokozi huu, msipofundishana tutawafundisha
 
Ingekuwa vizuri wakirudi tena na tamko waturuhusu kila kanisa lisaidie kutoa mchango kwa kiwango fulani ili hayo makanisa yarudi katika hali yake ya mwanzo au yawe bora zaidi.
naamini wapo waumini wengi tu ambao wangefurahi kutoa sadaka kuipata baraka hii ya kujenga makanisa, ningependa shetani aaibike kwa mara nyingine kama alivyoaibika alipodhani kamuua bwana Yesu na kumbe anajimaliza zaidi na kutengeneza njia ya ukombozi kwa wanadamu wote ulimwenguni, kwa watakaomwamini, kumpokea, na kumkubali kama njia, kweli na uzima
 
Back
Top Bottom