Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

Hapo kwenye rangi. Ndio mafundisho mnayopewa huko Kanisani kwenu na sunday school ambayo yanawafanya mnaishi kwa wasiwasi. Na ndio yaliyopelekea yule mtoto akanajisi kitabu cha watu kwa chuki mliyonayo ambayo ikasababisha hasara kubwa kwa makanisa yenu.

kwa ujinga uliojaza hapa wewe ndo kati ya waislamu wenye nafuu duniani.
 
Watu wangejua mbinguni tutawekwa kimakundi wasingefanya haya....watenda mema mkono wa kulia ,watenda mabaya mkono wa kushoto.hii ni mara moja baada ya kufa.tujirekebishe jamani ndgu zangu wtz
 
Back
Top Bottom