Picha: Maaskofu watoa tamko kuchomwa kwa makanisa jijini Dar es salaam

Nilazima muwafundshe watoto wenu nidhamu, adabu na ustaarabu. Naamini mtoto wa Kiislam hawezi kkojolea Bibilia kwani wanafundishwa nidhamu , adabu na kuheshimu wengine

Mlikuwa na kawaida ya kukojoa wima tukawafundisha ustaarabu, sasa niwakati muwafundishe watoto wenu, Kama hamtofundisha watoto wenu sehemu za kukojoa chamtamakuni mtaendelea kukiona

Mhh... Hii inaonyesha kuwa tamko la kutakiwa na UVUMILIVU na UPENDO pamoja na kuchomewa makanisa mengi na Biblia kuchanwachanwa halijawa appreciated kabisa.
Mambo ya kuchapwa kibao na kugeuza shavu la pili ili uchapwe tena inaelekea hayafai tena. Nadhani sasa ukichapwa kibao nawe rudishia, au toa kichapo kikali zaidi.
Hapo tutaheshimiana.
 
Amen. Amen. Amen kwa tamko la Maaskofu.

Yes let us pray and also continue to be on our guard.
 
Dr.WHO,kama umesomea udaktari kweli najua ulipiti somo la 'CRITICAL THINKING' UMESOMA RESEARCH,nafikiri ulitafuta kazi ya kukupa ugali tu na si kuelimika na kufikiri vitu kwa mbali sana,mtoto aliyekojolea hicho kitabu mnayajua maisha yake anaweza akaitwa Yohana kwa kuzaliwa,lakini matendo yake yakawa yanafanana na mtu wa maisha magumu,je umewahi kukutana na watoto wanaoishi huko mbagala,magomeni,tandale,na kunakofanana na huko kamwe hawafanani na wa masaki,mbezi beach,nk,watoto wa kikristo hufundishwa upendo daima kwa jirani,na jirani ktk biblia ni yeyote haijalishi rangi wala dini wala kabila,mara ngapi katika mihadhara ya kiislamu utasikia wanauchambua ukristo wanavyotaka hakuna anayeandamana wala kuharibu msikiti,hupita na kwa utaratibu wa ibada za Kikristo unatakiwa uwasamehe na kisha kuomba maombi yako upate baraka.Kama wakristo wakijibu mapigo kwa kuchoma misikiti,Amani ya nchi itatoweka hata wewe utakiona cha mtema kuni hautasalimika kama si nafsi yako basi ya ndugu zako,think Critically!!!!!

Umaskini usiwe sababu ya kumkosea adabu mwingine, naamini vijana wa kiislam wengi wanaishi maisha magumu lakini hawawezi kufanya kitendo kama alicho fanya Yohana

Mnachofundisha wakina Yohana ni kumpenda jirani pengine Mkiristo mwenzake kwa waislam mnawafundisha kuwa Waislam wanafuga majini na Qur'ani ni kitabu cha majini ndo maana kaonyesha dhara

Mnapokosa elimu ya tabia mtapambana na mengi
 
Amani tuliyonayo isijetoweka kwa makosa ya mtu mmoja,ni kweli kuwa kitendo alichofanya huyo si cha kiungwana na pia reaction haikuwa nzuri,watanzania hatujafikia hizo level.pleaz niwaombe hata kwenye jukwaa hili tusishambuliane.
 
Ila madhara yapo ktk himaya ya maaskofu? next time kipindupindu kikiwatembelea unaweza endelea na laifu tuu tatizo litakuwa siasa za nchi.

Yeah, Madhara ndio kama Wananchi woote wanavyoyapata; ILA Suala la Utatuzi na Kuitisha Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye hili suala NI SERIKALI TAWALA PEKEE; Haina DINI... NI lazima IJUE Undani wake na Sababu ya PANDE HIZO MBILI... Kuwa na Utofauti; na Kiini cha Chanzo cha hilo Tatizo...
 
Bwana asipoulinda mji waulindao wanakesha bure!!
Mungu awatie nguvu sana katika kipindi hiki kigumu cha majaribu, lakini upendo siku zote hushinda
Mpende jirani yako kama unavyojipenda, na mtendee vile unataka kutendewa
kumpenda adui ni sawa na kumpalia kaa la moto utosini mwake
 
Unataka waumini waingie mtaani kila mmoja aseme kama walivyofanya Ponda na wafuasi wake au?. Kwani makanisa ni ya serikali hayo?. elewa tu wakristo wana wasemaji wao na ndio tunaowasikiliza wakati wa shari au amani. Ukristo ni utaratibu na amani. Wao kusema ni muhimu hata kama serikali itaongea.

Oh, Kama ni KUWATULIZA WAKRISTO; Nadhani Kichwa cha habari kisingekuwa KUTOA TAMKO LA KUCHOMWA KWA MAKANISA;
 
Nilazima muwafundshe watoto wenu nidhamu, adabu na ustaarabu. Naamini mtoto wa Kiislam hawezi kkojolea Bibilia kwani wanafundishwa nidhamu , adabu na kuheshimu wengine

Mlikuwa na kawaida ya kukojoa wima tukawafundisha ustaarabu, sasa niwakati muwafundishe watoto wenu, Kama hamtofundisha watoto wenu sehemu za kukojoa chamtamakuni mtaendelea kukiona

Je wewe binafsi umefundishwa na kuishi kwa adabu? una nidhamu? ustaarabu wako uko wapi? heshima yako iko upande gani? Uko kwenye kukojoa umechuchumaa?

Mungu wa Mbinguni akusamehe bure maana hujui usemalo. Ila unapaswa kuelewa kuwa SISI tunaishi kwa kumtegemea na kumsikiliza Mungu wetu ambaye hashindwi na hababaishwi na SHETANI. VITA VYETU SI VYA DAMU NA NYAMA! kumbuka sisi si wajinga.
 
Naamini kabisa hujui historia ya tanzania, kwa nini usisikilize hutuba za Mchungaji Nyerere? anaeleza ni wakina nani freedom fighter hapa na waliochangia gharama ya uhuru wa TZ. tumeaachia nchi mnaifisadi kila kona bila huruma

Vijana wa KIislam kuanzia Madrasa mpaka majumbani mwao wanafundishwa kuheshimu Jesus/Issa, nitajie ni Muislam gani Tanzania amekojolea au Kuchoma Bibilia?? acha kuropokaropoka

Endelea amini,kwani umeanza leo kuamini ndoto za alinacha na impossibilitieas.Ninachofahamu Nyerere (usiyemjua angeweza kuwa padri kuliko mchungaji km ingewezekama) alikabiliana na hawa watu kwa vurugu hizihizi ambazo zilikuwa vikwazo sana kuzuia uhuru.Tofauti na leo kuna mabomu,Nyerere alitumia sana weledi wa ushawishi ili aende nao hivyo hivyo.Ndio maana hadi leo hawajielewi ni vipi alikuja dar wakamkaribisha(ingawa walifukuza wengi tuu kwa sifa zao za kujua historia ya madafu, bahari na ujinga mwingine wa kutaka shawishi watu kuwa kujua historia ya magengeni ndio kujua mengi), akacheza nao bao,akafunga na kufungua nao, akaweza chinda mioyoyo na kuweza wakwepesha wasiingie ktk migogoro bila wao kujua ili mambo yaende mbele.Sasa hat adreva taxi aliewahi mbeba Nyerere anadai anajua historia ya uhuru na alipigania uhuru.Wakati hakujua hata mipango ya Nyerere.

Mimi wala sishangai anayofanya Zitto na kadiri muda unaenda atadai kuwa mwanzilishi wa CDM na aliyefikisha CDM hapo.Nyerere was a Master Planner.hakuna waislam waliopanga misikitini kwenda mpinga walitoka katik mkutano wake bila kujiona wajinga kwa miaka yote.Utashangaa sana Jussa alivyozimika ndio anajipanga tena kuja umbuka kirahisi.Wewe una akili timamu kweli?lini wavuvi wa samaki wakula tuu, wacheza bao, katika mji ambao hata ajira hazikuwepo kihivyo za kuweza hata leta wapangaji ktk nyumba za nyasi mji mzima,watu waliokuwa wakinunua mabusha ,watu wanaogombania viingilio vya simba na yanga wangepata wapi hela za kuchangia uhuru?Acheni mizaha wengi walikuja pata rewards tuu kwa baba zao kuwa viongozi wa kiislam waliotumika kuzima uasi wa kiislam usiokwisha ila kabla ya uhuru walikuwa vibaraka tuu.Zipo familia za mikoani zilizokuwa zinajua hela na zilizotengeneza hela sana,hawa waliwekeza hadi dar es salaam,hawa ndio walikuwa na nia za kweli jenga TANU na kujenga nchi.

Sasa kama Biblia yenye Injili ya Yesu hamuiheshimu , "wamwaminie humfuata" kasome vyema mafundisho yake.Sasa nachokifanya ni kama kusema mnaheshimu toile paper.kwani zile aya chache katika Quran zinaongelea mema machache sana ,halafu na mengi yanayomdhoofisha sana na kumweka ktk level ambayo hata gaddafi aliweza sema wangukuwa hai mitume,Yesu angekuwa mfuasi wa Muhamad.Mnavyoto akauli kaa vile mmempa upemdeleo sana kumtaja.Ila kiukweli mmekuwa chukizo na kufuru, na meonyesha msivyojua.

Kwa kipindi kifupi waingiacho viongozi waislam hurudisha nyuma nchi kwa umbali ambao Nyerere hakufanya miaka 20+ ya utawala wa Nyerere.Mfano ni Mkapa tuu,pamoja na udhaifu wake aliweza acha hela hazina,huku madeni yakiwa kazibu zero,Kikwete kamaliza hadi NSSF, na alipoziona tuu hela hazina kaanza zitumbua, sasa hata yale mabilioni yake kayafisadi.
 
Kweli kabisa tamko hili linadhihirisha kuwa limetolewa na viongozi walioitafuta elimu sii tu ya kiungu bali na ya kidunia kuweza kuyamiliki na kuyatawala maumbile. Jinsi viongozi hawa wanavyoaminiwa na waamini nawahakikishieni wakichoshwa na hali na kutamka tu neno moja ''lipizeni kisasa'' kila kitu nchini kitakuwa vururu vururu. Lakini ni hekima ya hali ya juu kujua kwamba wameishikilia amani ya nchi hii mikononi mwao na kujizuia ndimi zao zisipotoshe hukumu wala kuhamasisha kisasi. Wamejaliwa kufahamu kuwa kisasi ni juu ya Bwana Mungu wetu. Hachelewi wala hawahi ila kwa wakati uliokubalika kwa kila jambo hulitimiza. Mungu wabariki viongozi wetu.
WAEBRANIA 13:7.
.
 

Yeah, Madhara ndio kama Wananchi woote wanavyoyapata; ILA Suala la Utatuzi na Kuitisha Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye hili suala NI SERIKALI TAWALA PEKEE; Haina DINI... NI lazima IJUE Undani wake na Sababu ya PANDE HIZO MBILI... Kuwa na Utofauti; na Kiini cha Chanzo cha hilo Tatizo...

Ni kama kusema ulimboka asiongee na kuna watu kadhaa wanasubiri tamko lake ili la serikali lipimike.Siku Lema kadhurika mikononi mwa polisi basi sema Mbowe asiongee au serikali imdhuru Lema mbowe akiwa mapumzikoni uone jinsi watakavyomtafuta na kumwomba aje kuongea.Serikali ingemtafuta mbowe popote duniani aje ongea.Hao maakofu kwa waumini wao ni zaidi ya rais.Wao ndio victims na waliopo nyuma yao.Sasa kwao kuongea kutoongea ni tamko.Ila kutoongea ni tamko linaloweza sikika tofauti na waumini waligharamia hayo makanisa, na wanaoyapa heshima sana mkanisa yao, na wengie wanayapenda kama vitanda vyao,kuungua ni kunawapa wakati mgumuu sana kufikia pa kulala.Na matamko yao ni msaada na wajibisho kwa serikali.Serikali nayo ilikuwa ikisubiri kwani wangeongea kama ponda na kuondoka.Hata wangeenda uwawa serikali inaweza shindwa control chochote.
 
Mungu awape busara maaskofu na viongozi wa kikristo,waongoze waumini wao katika njia za kulinda amani,vita vya kidini ni vibaya sana na huwa haviishi kirahisi.Wailslamu watambue vita na machafuko havitawabagua na wataathirika pia.
 
Nilazima muwafundshe watoto wenu nidhamu, adabu na ustaarabu. Naamini mtoto wa Kiislam hawezi kkojolea Bibilia kwani wanafundishwa nidhamu , adabu na kuheshimu wengine

Mlikuwa na kawaida ya kukojoa wima tukawafundisha ustaarabu, sasa niwakati muwafundishe watoto wenu, Kama hamtofundisha watoto wenu sehemu za kukojoa chamtamakuni mtaendelea kukiona

Huyo dogo kawatia adabu mtaacha tena kudanganya danganya watu eti wakikojolea wanakuwa vichaa au mijusi mbona hajawa mjusi sasa? Asiye kuwa mstaarabu hapo ni nani? Afadhali yule ni mtoto mbona watu wazima na akili zenu mmeenda kuchoma makanisa?
 
Nakubaliana na wewe kuwa watoto (wote) wafundishwe nidhamu. Na pia ni muhimu sana watoto wakafundishwa ukweli, na sio mambo ya kuwapumbaza. Kama ilivyo kwa wakristo na hata medhebu mengine, pengine ni vema waislam nao wakaangalia aina ya mafundisho wanayopata watoto wao. Ni nani aliyemwambia yule mtoto wa kiislam kuwa ukikojolea kuran utageuka mjusi? Ni mafundisho ya uwongo and it took a 14 years boy to prove ni uwongo! Na huyo mtoto amefundishwa mangapi ya uwongo?


Nakubaliana na wewe mkuu a 14yrs old boy proved wrong all Muslims scholars
 
Back
Top Bottom