(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

jamani asiwadanganye huyo hao ni mawakala wametoka kuapishwa na hao boda boda wote ni chadema hapo wamefata pesa tuuu ..magamba yamekwisha huku ni mkitaka kujua hawana kitu ni kesho siku ya ufungaji ndo utaona wapenzi wao watakavyoletwa kwa malori na jumapili ni kifo chao hawana chao hao kudadeki magamba masikini weeee jimbo lileeee chademaaa
 
Wewe lazima utakuwa na upofu!
Jitahidi kuwa unakubali defeat hata kama utaumia...
 
kamuongopee nyumba ndogo yako!
wewe baki tu kwenye Keyboard yako dar es slaam ukipiga kelele kuwa CDM inashinda,,,,,
Wenzako tulio field tunafahamu what is real happening. Viongozi wa CDM hii wiki yote wameingiwa na hofu kubwa sana!!
 
We Dokii acha uongo jana mbona nakuona hapa Arusha?
wewe baki tu kwenye Keyboard yako dar es slaam ukipiga kelele kuwa CDM inashinda,,,,,
Wenzako tulio field tunafahamu what is real happening. Viongozi wa CDM hii wiki yote wameingiwa na hofu kubwa sana!!
 
Mkuu, we umefika Arusha na mafuriko ya uchaguzi wa Arumeru!
Utaondoka, utatuacha na bahati mbaya utakuwa mpole sana siku ya kupanda saibaba pale stendi ya CHAWOTE!

Mkuu PJ you are barking at the wrong tree . mimi ni mkazi wa Arusha nadhani kuliko hata wewe . shughuli na biashara zangu zote zipo hapa hapa Arusha . kuwa na amani mkuu.
 
Nape Atakuwepo Kumpokea Laigwanan Mkuu wa Kimasai?
timu ya ushindi hii hapa.....
mkapa.jpg
 
Nimetembea kuanzia KIA, Kikatiti, Maji ya Chai na Usariver! kote huku hawataki kabisa kuiskia CDM!

We mwongo. Ulitembeaje umbali wote huo kwa siku moja? Je ulikopita ni Barabarani au vijijini /kwenye makazi ya watu? Kama ni bararabarani, natumai ilikutana na magari na si watu, na hao uliokutana nao ni wale waliopewa 20000/= na si vinginevyo
 
Acha kunichekesha...KIA na Usariver kuna umbali gani?? Unajua natumia means gani?
 
Acha kunichekesha...KIA na Usariver kuna umbali gani?? Unajua natumia means gani?

Nimeuliza kama Nape na Laigwanan Mkuu wa Kimasai Washapatana kama Ambavyo Olesendela Alivyopatana naye
 
Nimeikuza tu ili tuweze kuiona hiyo "timu ya ushindi" Tafsiri ya Ushindi ni nini?

Watanzania wala msiwashangae wala kuwasikitikia hao vijana wa Bodaboda kwani ni kama kukodisha Matarumbeta na Gari la kubeba bibi Harusi siku ya Harusi. Vijana hao ni baadhi ya watu watakao kuwa wamenufaika kwa fungu zito la Campaign kutokana na uchaguzi huu wa Meru East. Kwakua wanauhakika wa hesabu ya leo hawanabudi kufanya kazi hiyo kwani pia inawaingizia kipato cha kutosha tena zaidi ya Hesabu ya siku nzima, 30,000 na Mafuta kwa dereva wa bodaboda haoni shida kufunga bendera ya chama kukosa fungu hilo.
 
Back
Top Bottom