(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

Mkuu ni kweli hizo picha ni za mwaka 2010. Kama hiyo aliyepo kwenye gari ni Monduli mwaka 2010 na sio Arumeru.

Picha za leo ni hizi.

Mkapa akiwa KIA baada ya kupokelewa hapo leo

DSC05999.jpg


Na hii ya pili Lowassa akiwa wilayani Monduli leo ambapo Meneja wa Uhusiano wa NMB alikwenda Monduli leo kutoa msaada ya sh milioni 10 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko.

IMG_5436.jpg
Hizi zaweza kuwa za leo maana Shy Rose kambi ya EL na yuko pale kuomba ridhaa ya ubunge EAC unajua tena..
 
Duh kweli ccm wana ela kuwasafirisha watu wote hawa c mchezo, nadhani kwa mbali mnayaona magari yasafirisha umati huu
 
Watanzania tukichekwa na Watu wa nje kuwa tu mbumbu wengi wetu tunakasirika lakini kwa hili la Lowasa ni kielelezo tosha cha uchovu wa utambuzi wa hali ya mambo uliyomo ndani ya jamii ya Watanzania.
Lowasa alisha ukana Uzalendo wa nchi hii lakini wanaotambua hilo katika jamii ya Watanzania ni wachache.
Wakati mwingine si shida sana kulielewa tatizo hili chanzo chake ni nini.Chanzo chake ni matokeo ya kuua kwa makusudi mfumo wa Elimu ya taifa kwa faida za wachache wakiwemo akina Lowasa.
 
Mkuu, we umefika Arusha na mafuriko ya uchaguzi wa Arumeru!
Utaondoka, utatuacha na bahati mbaya utakuwa mpole sana siku ya kupanda saibaba pale stendi ya CHAWOTE!
Siyo saibaba,atapanda lakrome akidhania inaenda kule kwao!
 
View attachment 50517
Mwendo wa Ushindi.....

Ni mwendo wa msimbazi kwa kiwese na hao wote hapo kura kwa CDM.ile kauli mbiu ya kula CCM kura CDM imeshika kasi mbaya.leo nilikuwa na ongea na makada wa ccm akeri wanadai watu wengi hususani wanachama wa CCM watampa kura Nassari na wanasababu zao za msingi.
Stay tune...chungu lakini dawa.
 
Alafu baada ya wadau kugundua kuwa picha zimegushiwa, Rejao na Ritz wametimka kwenye hii thread. Kwenye page za mwanzo wameshadidia sana hizo picha sasa hivi wameyeyuka. Njia ya muongo siku zote ni fupi tu.
 
wewe baki tu kwenye Keyboard yako dar es slaam ukipiga kelele kuwa CDM inashinda,,,,,
Wenzako tulio field tunafahamu what is real happening. Viongozi wa CDM hii wiki yote wameingiwa na hofu kubwa sana!!

The opposite is true.
 
Back
Top Bottom