CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,921
Ni Burial Ceremony.
Ceremony [ˈsɛrɪmənɪ] a formal act or ritual, often set by custom or tradition, performed in observation of an event or anniversary
Ni Burial Ceremony.
Haya sasa tutafsirie na "sherehe".Ceremony [ˈsɛrɪmənɪ] a formal act or ritual, often set by custom or tradition, performed in observation of an event or anniversary
Jamani.... Habari zitatungwa sana this time!Nimesikia kutoka huko mliko eti Simu aliyopigiwa Lulu ilitoka kwa Mh Waziri mmoja... Please Vyombo vya Dola na Watu wa simu tuelezeni ukweli
Haya sasa tutafsirie na "sherehe".
Why not, yaani mpaka umri huo hujaona Disco msibani?....Bila kutafsiri.....wewe unaweza kusheherekea msiba?
Jamani.... Habari zitatungwa sana this time!
pamoja kamanda.....
jamaa kafa kwa ajili ya tamaa ya ngono,watu wana mwona shujaa.utaongea kesi na marehemu,
hata wewe kangekupa vitu hako katoto ungemeza tu mkuu.
Jamani.... Habari zitatungwa sana this time!
Kibonde katoa kali(Kasema sasa mkuu wa sherehe baada ya kusema mkuu wa shughuli ya leo)
sasa ccm na serikali yake wakitaka kujuwa tatizo la ajira lilivyoiathiri nchi hii waangalie hayo maudhurio ya msiba wa kanumba na leo ni siku ya kazi.
Hivi nguvu kazi hii yote kweli ilipaswa kuwepo hapo kweli? Nina uhakika hapo nusu ni waombolezaji wa kweli na nusu ni wale hata zikipita mbio za mwenge nao huunga tela.
Jamani.... Habari zitatungwa sana this time!
labda invisible anajua simu haikutoka kwa waziri imetoka kwa mwenyekiti wa chama kikubwa cha siasa tanzania.....Invisible hii inaweza kuwa kweli. Mi nadhani ungemuuliza kasikia wapi.
Why not, yaani mpaka umri huo hujaona Disco msibani?....
kuna gazeti fulani la leo nilisikia asbh kwenye magazeti kuwa miwani nyeusi jana chinga wameuza sana.Hivi miwani mweusi ndo fasheni kwenye misiba?