PICHA: Heshima za mwisho na mazishi ya Kanumba!

NA HAPA NDIO WAKATI MWILI WA Bwana Kanumba ulipokua unaingizwa Kaburuni usu saa iliyopita

292116_391453967545034_100000413028052_1314338_77444375_n.jpg
 
kwani ilikua ni wish yake kuwa azikwe na feni...................?au wewe ndio unatamani wamuwekee feni?
Wewe utahitaji feni kaburini kwako....................?
Kwani ilikua ni wish yake azikwe kinondoni???
Kua na adabu wewe!!
 
Mbona ni makuburi mawili tofauti,tumeoneshwa lina tiles,jeneza linaposhushwa hamna!!?
Au walibandua???
 
halafu makao makuu ya CHADEMA yapo hapo hapo Kinondoni wakitoka msibani hao wapitie kadi za chama, maana marehemu alikua ni Mwana Chadema damu
 
Ama kweli mtandao umeufanya Dunia kama kitongoji kimoja!


Preta! Endelea kutujuza kwn haki tupo pamoja!

Rest In Peace KANUMBA!
 
R.i.p Kanumba, kuna watu wanamambo ya ajabu, pitia blog ya mange kimambi uone alicho comment.
 
Back
Top Bottom