PICHA: Heshima za mwisho na mazishi ya Kanumba!

Kama unaenda kanisani na mhubiri wako anakuambia habari za kupata hela,mchumba,kutoa mapepo na magonjwa bila kukuhubiria utubu na uache dhambi angalia mara mbili na achana naye anakupoteza mbaya kwanini usijiombee mwenyewe kwa Mungu wako iweje mtu mwingine akuombee kwa niaba yako tubu dhambi,wapende wenzio kama unavyojipenda,saidia wenye shida na uache kutenda dhambi utaona mwnyw neema zitakavyokushukia achana na hao manabii/mitume na soon ataibuka mmoja wao na kujiita Yesu!

Edit Reply Report Post
 
Umeme umekatika!!! Aaagh.!! Preta nirushie kinacho jiri huko.. nackia foleni kuja maeneo ya kino ni kubwa sana... is it true??
 
Preta , unapiga hizi picha kwa simu ya Tecno nini!
By the way, hongera kwa kuwakilisha!...una mauchungu sana aisee!
Mimi huwa siifagilii sana ile Saibaba inayoondoka saa 6 mchana huku A-Town?...kumbe ulifika nayo fresh Dar!

anareport from Geneva of Africa kwahiyo mwangwi wa picha unachukuwa muda kufika
 
Preta , unapiga hizi picha kwa simu ya Tecno nini!
By the way, hongera kwa kuwakilisha!...una mauchungu sana aisee!
Mimi huwa siifagilii sana ile Saibaba inayoondoka saa 6 mchana huku A-Town?...kumbe ulifika nayo fresh Dar!

PJ.. Kausha mkuu.. TECNO mbona iko poa tu. Hapa niko na mchina hata jina hakina,screen naziba jicho moko(kama kiberiti cha njiti) lakini nashukuru kinashika JF
 
Nimesikia kutoka huko mliko eti Simu aliyopigiwa Lulu ilitoka kwa Mh Waziri mmoja... Please Vyombo vya Dola na Watu wa simu tuelezeni ukweli
 
Back
Top Bottom