PICHA: Heshima za mwisho na mazishi ya Kanumba!

sasa ccm na serikali yake wakitaka kujuwa tatizo la ajira lilivyoiathiri nchi hii waangalie hayo maudhurio ya msiba wa kanumba na leo ni siku ya kazi.
Hivi nguvu kazi hii yote kweli ilipaswa kuwepo hapo kweli? Nina uhakika hapo nusu ni waombolezaji wa kweli na nusu ni wale hata zikipita mbio za mwenge nao huunga tela.

hilo nalo neno mkuu.
 
Nyumba ya milele ya mpendwa Kanumba.........

577410_405267816152451_100000077095746_1494517_940000749_n.jpg
 
Back
Top Bottom