Mkuu umefikiri sawasawa? unataka vyombo vipi vinavyohusika vifanye kazi yake?hawa watu ni vema tukiwafahamu kwa kina tena si majina tu yapaswa tufahamu hata mienendo yao.Tukishamjua halafu what next?
Tuachie vyombo husika vifanyie kazi hili swala, huko itakuwa kuanzisha ugomvi, fujo, mfarakano baina ya raia na askari.
Vyombo husika ni vipi mkuu? Vyombo vyenyewe ndiyo vinavyolaumiwa!!...
Tuachie vyombo husika vifanyie kazi hili swala, huko itakuwa kuanzisha ugomvi, fujo, mfarakano baina ya raia na askari.
Huyu anaweza kutoa ushahidi, ndani ya Polisi kuna wazalendo wa kweli akiwemo yule aliyejinyonga Morogoro ambaye alitaja watuhumiwa wanaolichafua jeshi la polisi, nawaachia vionozi hebu cheki huyu:
Askari huyu bila shaka alijeruhiwa na bomu hilohilo lililomuua Mwangosi an hapa alikuwa anasubiri kuondolewa. Tazama kwa makini umri wa askari aliyemfyatulia Bomu Mwangosi, ni Kijana mdogo kabisa, na tabia hii ya jazba ya vijana inahitaji ushauri ama sivyo itatupeleka pabaya. Tatizo la uwezo wa vijana katika kutetea yanayowahusu si la CCM peke yake, CHDEMA pia wako kwenye shida hii ya kumudu hisia za vijana, na wakati mwingine wanatoa msimamo wa chama kusuppport ubaya uliyotendwa na vijana ili mradi tu kulinda support yao vijana kwa chama. Tunahitaji kufanya jambo kuwasaisia viajana wetu kuchukua nchi hii katika umoja na kuheshimu mawazo ya kila mmoja si vitisho na ubabe wa upande wowote ule ukiwemo wa wale wanaosema damu itamwagika au nchi haitatawalika, kwani mimi nisiamini unachoamini si ndugu yako? Kwahiyo Dawa ni kuniangamiza, la hasha. Na wale wanaotumia dola kuwaumiza wenye itikadi tofauti ilimradi tu uufurahishe utawala, unasahau kuwa utawala wa Mh Kikwete hauwezi kukulinda utaumbuka na kustaafu kwako kutakuwa kwa aibu ka isa sijui hamsomi alama za nyakati? Waulizeni akina Mgonja, je wewe ni nani? TUHEHIMIANE NA TUDUMISHE UMOJA hata kama tuna mawazo tofauti.
Uncle wangu alikuwa polisi ila aliacha, ktk kumdadisi niligundua mabo mengi ambayo kama wewe ni MPENDA HAKI hii kazi inahitaji uwe na akili ya ziada, VINGINEVYO HII SIO KAZI YA KUFANYA hasa kwenye nchi zilizojaa watu wenye roho mbaya kama kina mwema, chagonja, manumba, kamuhanda, mahita na wenzao.Mtu mwenye kofia (Barret) aliyekumbatiwa na Daudi ambaye anasemekana kuwa ni mkuu wa kituo cha polici Mafinga na ambaye inasemakana pia kuwa huenda ndio alitoa order ya kuua kwa askari waliokuwa na siraha ni nani kwa jina
Tukishamjua halafu what next?
Tuachie vyombo husika vifanyie kazi hili swala, huko itakuwa kuanzisha ugomvi, fujo, mfarakano baina ya raia na askari.
Tukishamjua halafu what next?
Tuachie vyombo husika vifanyie kazi hili swala, huko itakuwa kuanzisha ugomvi, fujo, mfarakano baina ya raia na askari.
hivi ulimsikia mandishi aliyeojiwa na itv? anasema wakati marehemu anapigwa rpc alikuwa kwenye gari
Mtu mwenye kofia (Barret) aliyekumbatiwa na Daudi ambaye anasemekana kuwa ni mkuu wa kituo cha polici Mafinga na ambaye inasemakana pia kuwa huenda ndio alitoa order ya kuua kwa askari waliokuwa na siraha ni nani kwa jina
Tukishamjua halafu what next?
Tuachie vyombo husika vifanyie kazi hili swala, huko itakuwa kuanzisha ugomvi, fujo, mfarakano baina ya raia na askari.
poa tu kwani tatizo ni nini?akuanzaye...........Tukishamjua halafu what next?
Tuachie vyombo husika vifanyie kazi hili swala, huko itakuwa kuanzisha ugomvi, fujo, mfarakano baina ya raia na askari.
Tukishamjua...
Hujaamka tu? Hujui tuna vyombo jina tu?! AMKA!
Tukishamjua halafu what next?
Tuachie vyombo husika vifanyie kazi hili swala, huko itakuwa kuanzisha ugomvi, fujo, mfarakano baina ya raia na askari.