PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

..POLE ndugu yangu.

..tusiwalaumu wananchi kwa kuichagua CCM.

..wapinzani hawakufanya kazi ya kutosha kuwahamasisha wananchi.

..kampeni za upinzani na mgombea wao hawakuwa na mvuto hata kidogo.

..pamoja na mgombea wetu kuwa mgonjwa na kushindwa kuhutubia kila mahali, bado wananchi walijitokeza kwa wingi kupigia kura wapinzani.

..wapinzani tujilaumu sisi wenyewe kwa kuweka mgombea dhaifa na kuendesha kampeni zisizo na mvuto.
Na wizi wa Kikwete
 
Kweli maisha ya Mtanzania hayana thamani. Imagine kama hili lingetokea nchi nyingine. Ama Tanzania hata rais hakusema wala kujali! Bila shaka waliofanya hivi bado wako huru na usistaajabu kama wamepandishwa vyeo. Nasikia mwandishi Mwangosi alitaka tu kumfanyia interview mkuu wa mkoa, malipo yake ni haya!
 
R.I.P Mwangosi
Damu yako na hakika hijawaacha salama wadhalimu wote waliohusika kukukatisha Uhai
 
M/Mungu atusaidie, kwa kweli nchi yetu inahitaji maombi ili indokane na laana hizi za MaCCM/ POLICCM.
Hata SHETANI anawashangaa watawala wetu, ni zaidi ya laana wayafanyayo.
Nchi iliyo huru haiwezi weka watu wake katika maisha haya miaka yote.
 
M/Mungu atusaidie, kwa kweli nchi yetu inahitaji maombi ili indokane na laana hizi za MaCCM/ POLICCM.
Hata SHETANI anawashangaa watawala wetu, ni zaidi ya laana wayafanyayo.
Nchi iliyo huru haiwezi weka watu wake katika maisha haya miaka yote.
Kweli mkuu.
 
Mimi siku nikiwa Rais sehemu ambayo nitafanya reformation mara moja ni jeshi la police

Hawa jamaa ,they are so unprofessional na wana network ya kutetewa na wakubwa wao polisini
 
84 Reactions
Reply
Back
Top Bottom