Wambandwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 2,249
- 830
Wacha hiyo, Mdogo wangu Ni afisa ugavi polisi, anapata shida kuli - concile accounts zake na wenzie kwa sababu wakubwa wanamletea invoice za vitu ambavyo hajawahi kupokea na kumwamrisha aidhinishe malipo.Sio kosa ilimradi ujiridhishe kwamba habari ni ya kweli pili iwe imetoka kwenye reliable source kama ina mashaka haina ushahidi wa kutosha na source haijulikani mute
Akuniletea makabrasha nikayatundika Ni kosa?