PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Nafikiri hizi lazima zitakuwa mojawapo ya attachment kwenye lile kabrasha lilopelekwa ICC.VIVA CHADEMA VIVA UKAWA
 
Unayejiita "Remote" we ni shetani na kumbuka Mungu anakuona na hiyo roho yako ya ukurutu..yaaani unafurahia vitendo vya polisi kwa kuviita kafara za chadema...kwa kweli umemkosea Mungu adabu sana...

Mkuu anafikiri anaweza kukwepa rungu la mwenyezi mungu,anajidanganya tu
 
Watanzania wakiendelea kuichagua ccm watakuwa hawazitendei haki roho za akina Mwangosi ambao walikufa wakiwa wanapigania ukombozi wa tabaka la chini
 
roho yake shujaa mwangosi ipumzike kwa amani! hakika ulikuwa ukitetea haki ya mtanzania kupata habari hivyo wewe kwangu ni shujaa! wanaofurahia kitendo hiki na mauaji haya wawe na uhakika kuwa na wao hawatakuwa salama kwa kumwaga damu za binadamu wenza. R.I.P brother
 
polisi wa tanzania inabidi wapimwe akili.. ila hapo ktk picha naona kama police wanamuadabisha police mwenzao baada ya kufanya tukio.
 
Asante tanzania;tumemsahau kabisa,huyu askari yupo anakula bata,ndugu wa huyu mwandushi hampo?
 
Kesi gani? Hii uwa inapigwa tu danadana, waandishi wenzie wote wamemsaliti...hawapiganii tena swala lake na wote wamekuwa makada wa ccm
Sio waandishi tu, ndo hulka yetu watzee porojo nyingi, kwakweli kuongea tumejaaliwa
ila kuchukua hatua ndo huwa hatujui
Tunaishia kupata moto, kuongea then linapita tunaangalia mengine
 
Kwenye vijiwe vya kahawa sheria ya mitandao inafanya kazi pia..???utakuta mtu anavyo ongea kuhusu ikulu utadhani anaishi huko wakati kihalisia hata gate la ikulu halijui.
 
Mungu wangu uturehemu kama nchi ya amani kama Tanzania watu wanafanyiwa hivi basi hakuna amani kabisa.

Hawa maaskari walichukuliwa hatua gani?Vipi familia ya Mwangosi wanaendeleaje kama shujaa wao kauawa?
Channel Ten sijui wanakumbuka haya mambo.
 
Masikini Mwangozi!
Kwa vyovyote vile angelikufa lakini walioamua kumzawadia mauti ya aina hii na wale walio nyuma yao hakika hawatakaa akili zao zitulie na damu yake itavifuata hata vizazi vyao. Labda watoke hadahari na kutubu!
 
Back
Top Bottom