PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

Mkuu Ritz
Angalia picha utaona wenye majonzi ya kweli na wanafiki waliokwenda kutafuta picha za magazeti; Dr. Slaa anaona hata aibu kuingalia kamera kwasababu ya dhambi unafiki inamsuta, masikini kama watoto uyatima kwa tamaa za kisiasa inasikitisha sana. R.I.P Mwangosi

Chama
Gongo la mboto DSM

Kweli umefika mwisho wa reli
 
Because of police, alafu ndio hawa hawa wanaotuambia tusichukue sheria mkononi tunapowakamata vibaka wakati wao wana mbinu mblimbali za kijeshi za kudhiti uharifu ajabu wakikamata raia wema wanawasindikiza na kichapo mpaka wanapoteza maisha je sie tusio na ujuzi kama wao tufanyaje sasa
tuwakamate wao tuwachape.
 
Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema
WRONG!!!

Kusaidia sawa, lakini kusema Daudi kafa ndani ya harakati ni kumfanya alikuwa mwanaharakati wa CHADEMA, jambo linalodhoofisha taaluma yake ambayo ameifia. Amekufa akiwa kazini, kazi ya uandishi wa habari/upigaji picha za televisheni. Hakuwa upande wowote wa machafuko yale, jambo ambalo linampa credit zaidi na kuwalaumu polisi kwa upumbavu wao wa kumuua tarishi...
 
wana jf,

picha ya Dr Slaa akimfariji mtoto wa marehemu imenihuzunisha na kunitia uchungu hadi machozi yamenitoka. poleni sana familia ya marehemu na mwenyezi mungu subhaan wutaalah atawalinda na kuwapa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu. RIP DAVID.
 
..hapo ndo chadema wanapokosea huyu jamaa kauawa kwenye harakati zake za uandishi wa habari na si si uandishi wa chadema,na waangalie sana isije gundulika wakawa wao ndio wamemuua ili polisi waonekane ndio wamemuua..p.i.p mwangosi tutakuenzi kwa yote
 
296551_424909407545316_687340323_n.jpg
 
Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema

Sipingi suala la kusaidia watoto maana ni jema sana lakini sikubaliani na wewe kuwa marehemu kafa akiwa katika harakati za kisiasa za chadema. Inabidi ufahamu kazi aliyokuwa akiifanya marehemu. Marehemu alikuwa mwandishi wa habari hivyo mauti imemkuta akiwa kazini. Alikuwa akikusanya habari na ikatokea habari ilikuwa ikihusu mkutano wa chadema.Maelezo yako yameelekea katika kuifanya chadema kuwa responsible na hicho kifo kitu ambacho si sahihi.
 
Inaumiza sana wandugu why poliiiiiiiiiiiiiisi mnafanya unyamaaaaaaa familia yake itabaki vipi jamani kwa nini hamna huruma na watanzania wenzoni.Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya maremu,Amen.
 
Inasikitisha kuona uhai wa binadamu wenzetu ukitolewa kwa sababu ambazo hazieleweki. RIP Mwangosi
 
Mungu anaona udhalimu huu aliotendewa huyu mtoto na Serikali, huyu mtoto apewe picha za polisi waliomwua baba yake...
 
These people r ridiculous indeed
kwan huyo kafa anaipigania chadema au kafa anaitumikia channel ten,,ngoma si yao wanaivalia kibwebwe kutafuta umaarufu wa kisiasa,,,slaa ni mnafiki sana,,najiuliza ss hizo rambi rambi zake will it help to bring our fellow mwangosi back to life???
we real need changes bt chadema u r not a proper substitution
slowly u r now showing to us ur true colours
we gat both of our eyes on u dude,,n we wl never ever gona blink,,,
:A S 465::A S 465::shetani::shetani:


Nkandabwi, angalia hayo mahaba yako na wauaji yanakufanya uonekane hauko sawa!
Hata kama humpendi Dr. Slaa, hivi yeye si mtanzania kama wengine? Ina maana kuwa kiongozi wa CHADEMA inamzuia kwenda kusalimia msiba? kutoa pole na rambi rambi ni mila na desturi zetu watanzania sioni kwanini umtuhumu kwamba rambirambi zake hazifai kwa vile hazimrejeshi marehemu, ebu jisome tena mkuu wangu!

Poleni sana wote walioguswa na msiba huu.. 'LAKINI YANA MWISHO HAYA' (kwa wale walo msoma Rashidi akiwa kuli bandarini)
 
Mungu awape nguvu na faraja familia ya mwangosi hasa katika kipindi hiki kigumu cha kupoteza mpendwa wao!
 
Kwani huyu muandishi na yeye alikua kwenye harakati zenu?

Akili ndogo inatawala akili kubwa! Kwani mwangosi amukufa akiwa kwenye harakati za kupiga picha na kutafuta habari kwenye uzinduzi wa kampeni za Bububu?! Reason before you put your dam fingers on the keys to type!
 
Naona uchungu sana nilipoangalia picha za kinyama na ukatili alivyofanyiwa daudi mwangosi.
Nazidi kuona uchungu zaidi kutafakari jinsi kijana huyu alipoelezwa kuwa baba yake almefariki kwa kupigwa na polisi akiwa kazini.
Naomba mwenyezi mungu kijana huyu asipate kuziangalia picha zile za kinyama za kupigwa na kuraruriwa kama sio binadamu baba yake.
Nashindwa kuvumilia na kujizuia kwa kutokwa machozi kwa unyama na ukatili huu.
Mungu yupo na atawlipizia kwa unyama huu.
Raha ya millele umpe eh! Bwana na mwanga wa milele umangazie.

Damu yako daudi haitamwagika bure-

napendekeza siku hiyo ya mauaji iwe kumbukumbu ya marehemu daudi mwangosi.
 
Pole zake dogo! naona anakuwa anawakimbi polisi asikini is still very young...
 
Back
Top Bottom