PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

Picha imenitoa machozi....

kwa kweli hata mimi picha nzima ya kifo cha mwangosi imenitoa machozi. hivi ni binadamu gani anayeweza kuua binadamu mwenzie kwa ukatili kiasi hicho na hasa pale anayeuwawa hana kosa lolote. nguvu iliyotumika ni kubwa sana unnecessarily. rest in peace daudi. i wish aliyehusika ku-trigger risasi naye alipuliwe kwa mtindo huo huo!
 
..hapo ndo chadema wanapokosea huyu jamaa kauawa kwenye harakati zake za uandishi wa habari na si si uandishi wa chadema,na waangalie sana isije gundulika wakawa wao ndio wamemuua ili polisi waonekane ndio wamemuua..p.i.p mwangosi tutakuenzi kwa yote

Si mna vyombo vya dola chunguzeni kama ni chadema wakamatwe, wafungwe. la sivyo wewe ni mropokaji tu kama hao mabwana zako CCM.
 
Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema

Serikali ndiyo yenye jukumu la kwanza kuhakikisha hilo linafanyika kutokana na makosa ya watendaji wao.
Chadema wanatakiwa wafuatiie kuhakikisha familia hiyo inapata mahitaji yanayostahili kutoka serikalini.
 
296551_424909407545316_687340323_n.jpg

Kweli inasikitisha na inahuzunisha sana.

Yote haya yatakuwa na mwisho muda si mrefu.

Leo wameua kwa risasi,kesho kwa bomu la machozi ?!na baadaye watakuwa na vifaru lakini vyote vitaishiwa risasi na mabomu na umma wa Watanzania utasimama pale ukiwakodelea macho na ndiyo utakuwa mwisho wao!
 
Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema

I hope you are not trying to be sarcastic! I thought you would suggest for the government under the Social Welfare branch to do that! In fact after the Tume Huru gets to the bottom of this, whoever is found to have caused this catastrophe MUST be made responsible if need be, that culprit has to be sued!

If it is the police, then they should recompense the family for their loss moneywise because they can never return the husband and father. And they have to pay big!!!

These are just my views!
 
Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema

Je, aliombwa na Chadema kuripoti matukio hayo ya kisiasa au ni ilikuwa sehemu yake ya kazi aliyosomea na kuwa na mkataba na Channel 10 kuripoti matukio kutokea Iringa?
 
kwa kweli hata mimi picha nzima ya kifo cha mwangosi imenitoa machozi. hivi ni binadamu gani anayeweza kuua binadamu mwenzie kwa ukatili kiasi hicho na hasa pale anayeuwawa hana kosa lolote. nguvu iliyotumika ni kubwa sana unnecessarily. rest in peace daudi. i wish aliyehusika ku-trigger risasi naye alipuliwe kwa mtindo huo huo!


Natamani kutoa Unabii ,Natamani kutabiri ..eeh mungu tusaidie maana hii sasa ni tooo Much
Kwanza hilo police lilitakiwe liwe Ndani sasa lakini utalikuta mtaani linashangaa shangaa tu..
 
Mwema awajibike tu kwa kushindwa kumfukuza kazi kamhanda hawezi kukwepa hili.inahuzunisha sana.R.I.P Daudi Mwangosi.
 
hawa polic sijui wametuchok!! wanauwa raiya wasiyo nahatiya kisha wana turudiya eti tuwape ushirikiano hiinaja kweli?
 
Ndio maana mm wanangu nawakabidhi kwa mungu kimaombi kila nikipata fursa! maana siku ya kuondoka duniani ni kitendawili! ona sasa daudi alijua anaenda kazini kutafuta, matokeo yake kawaacha wanae bila hata wosia! shit!!
 
Saa ya ukombozi imefika. Inasikitisha sana, sijui serikali na jeshi&nbsp;lake la polisi wataficha wapi sura zao zilizojaa udhalimu. Watake wasitake mabadiliko yanahitajika na lazima yawepo. Duniani hakuna aliyeweza kuzuia mabadiliko pale yalipohitajika.<br>R.I.P. Mwangosi, ambaye hukuwa na hatia hata mbele ya waovu.
 
Kwa wenye watoto wajifunze na hili tukio, siasa tuwaachie wanasiasa, leo na kesho unaacha familia yako ikiteseka ilimradi mtu fulani apate cheo.

Nahisi uko kama mzimu fulani. Huyu marehemu alikuwa anafanya siasa gani? au ndo wale wa kusoma kutoka kulia kwenda kushoto. But mlisema CDM itasambaratika soon!! na mwengine akasema tutawashughulikia CDM. But huyu alikuwa anafanya siasa gani?? SAsa hivi mkimaliza kuua mnasema kitu chenye ncha kali mara kitu kigumu ili CDM ndo wawe wauaji. HII imewaumbua maana picha ziko zinaonyesha. TAke my word: HAtutaogopa kwenda kwenye mikutano ya Siasa. Tutakwenda na siku nyingine na siku nyingine tena.,
 
aisee,kijana bado mdogo sana! masikini sijui nani atailea familia.Yani nimepatwa hasira hadi natamani kama ningekuwa na uwezo ningemsaidia dogo kulipiza kisasi kwa njia yoyote.
 
Mungu amjalie mtoto huyu,atimize malengo yake aliyowekewa na baba yake.inauma sana hasa kwa sisi wazazi.

Ndugu Baba ni baba hata kuje mahela mangapi but baba ni baba!!!!!!!!! Kikwete ametimiza ndoto yake tena hapa! Tanzania tujifunze ni kosa kuwa na RAis ambae aliwahi kuwa mwanajeshi.......
 
Back
Top Bottom