Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Mti huu ni kumbukumbu kwamba umetutoka kimwili lakini ungali nasi kiroho hadi tutakapoungana nawe katika makazi ya Baba wa milele.
Dr. Slaa alipofika kwenye msiba wa familia ya hayati Daud Mwangosi kuwapo pole.
Mjane wa Daud Mwangosi, ameacha mjane na watoto wanne.
Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole.
Picha kwa hisani ya Mjengwa blog
Wana Jf,msafara wenye majonzi kuelekea itete nyumbani kwao marehemu Daud Mwangosi kwenda kumzika,kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr W. Slaa akiwa na makamanda wa m4c wameambatana na wafiwa kwenda kuzika.Huzuni imetawala kwa wana-rungwe.