Hahahaaaa Mke wa Kafulila huyo itifaki izingatiwe MkuuHili Toto LA kinyiramba limekaa vizuri
Huna macho !?Ujinga gani wanao pakazia?
Je hujui kwamba katika awamu hii hilo dai ni kosa? Ni kwa sababu tu ya mwandiko kasi hawana muda wa kuandika maneno yote hayo, neno uchochezi linatosha. Hujui hadi humu JF kuandika neno ki.la.za ni kosa kwa sasa!Ni wasiwasi na uhalisia wa hizi picha kama ni kweli zimepigwa na polisi. Sidhani kama polisi wanaweza kuandika kosa ni kudai utawala wa kisheria.
Unafaidika na nini?Hii safi Sana itapunguza chokochoko Na kuweka record sawa.
Unafaidika na nini?
!
!
Kuna watu hudai kwamba kwenye Jeshi la Polisisiem hakuna watu wenye weledi, nilikuwa nabishaga.
Kwani hizi picha zimepigwa na Polisi au ni raia wenyewe kama ile Challenge ya Museveni ?Ni wasiwasi na uhalisia wa hizi picha kama ni kweli zimepigwa na polisi. Sidhani kama polisi wanaweza kuandika kosa ni kudai utawala wa kisheria.
ha ha ha,hilda ni wife material hahitaji disturbance,huyu jesca ni kutumiaHilda mbona hamumuoni....