PICHA: Chuki ya Dola dhidi ya wananchi inatoka wapi?

Napata shida kuweza kutambua adhma ya walioko kwenye dola dhidi ya wananchi wanao ongozwa.

Katika hali tulionayo hivi sasa ya matukio ya kutisha, naona haja ya dola kuboresha na kuimarisha mahusiano na wananchi wake ili kuweza kupambana vyema na matukio ya sasa. Ila cha kushangaza inaonekana kuna vitu vinafanyika kwa lengo l kukomoa wengine bila kujua kuwa yanatengeneza chuki baina ya pande mbili.

Nini mantiki ya haya ya ziada ikiwa mtu amekili kosa na taratibu za kisheria zipo?

Tuwe makini sana.

View attachment 388203
View attachment 388202View attachment 388201View attachment 388200
View attachment 388199

View attachment 388198

View attachment 388196
Picha wajipige wao halafu useme ni dola?
 
Nina mashaka kama mtoa mada alikua na lengo la mzaha kama wanavyofanya baadhi yenu. Kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi ndy kumetufikisha hapa kama Taifa.
Nchi iko kwnye hali tofauti tutegemee watu wenye uelewa/ wasomi kuisaidia taifa, lkn kwa mizaha ya namna hii nina mashaka.
 
Kosa ni "kudai utawala wa kisheria"? Hili nalo ni kosa?

Police mnatia aibu sana.
 
Heee Hilda Newton kanivuruga miaka 43 ?

Hawa kina Jesca wanatatizo la kimfumo ,huyu Jesca hata kuandika tatizo kama ndio anajifunza vile
 
Back
Top Bottom