PICHA: Chuki ya Dola dhidi ya wananchi inatoka wapi?

1472140586001.jpg
 
selekali puuzi kama hii mnategema iwapeleke kwenye uchumi wa viwanda!!!!!!!!!!!!!!!...........sahauni kabisa .............. eti kudai utawala wa sheria ni kosa linalo tozwa na selekali ya magufuli!!!!!!!!!!!!
 
JF badala ya kuwa forum for great thinkers imegeuzwa jalala. Kweli mnashindwa kutofautisha karatasi aliyoshika Salum mwalimu (ambayo naamini ndio ya polisi) na hizo walizoshika akina mtoto mzuri na anaonekana mtamu Jesika? Hopeless kabisa
 
Tupo wengi sana tusio na chuki na Serikali yetu.... Ni propaganda za kipuuzi tu.... Wahalifu ndo Wenye Chuki na Serikali ...... Chama ama Tahasisi yenye harakati/uhamasishaji kwa wananchi za kujenga chuki kwa Serikali yao ni cha kukiogopa kabisa....
 
Polisi siku hizi wamekuwa wazuri mpaka picha za majalada ya kesi mtandaoni?
Au inaruhusiwa?
Kama sio nani kazileta humu?
 
UKUTA unqualified success hata kabla ya siku rasmi ya maandamano. Exposed udhaifu mkubwa wa polisi.
 
Wanaostahili kufanyiwa hivi ni wezi...majambazi na mafisadi ama makahaba na wanaonunua makahaba...
 
JF badala ya kuwa forum for great thinkers imegeuzwa jalala. Kweli mnashindwa kutofautisha karatasi aliyoshika Salum mwalimu (ambayo naamini ndio ya polisi) na hizo walizoshika akina mtoto mzuri na anaonekana mtamu Jesika? Hopeless kabisa
Uja elewa uzi kiundani! Soma tena na utafakari kwa kina.
 
Back
Top Bottom