PICHA: Chuki ya Dola dhidi ya wananchi inatoka wapi?

Ni wasiwasi na uhalisia wa hizi picha kama ni kweli zimepigwa na polisi. Sidhani kama polisi wanaweza kuandika kosa ni kudai utawala wa kisheria.
 
Ukiwa msibani aliyefiwa utamjua tu.

Mwenye msiba hapo ni Salum Mwalimu tu

Wengine wanaitumia misiba kutafuta mabwana na ni vyema waambatanishe na namba zao.
 
Ni wasiwasi na uhalisia wa hizi picha kama ni kweli zimepigwa na polisi. Sidhani kama polisi wanaweza kuandika kosa ni kudai utawala wa kisheria.
Je hujui kwamba katika awamu hii hilo dai ni kosa? Ni kwa sababu tu ya mwandiko kasi hawana muda wa kuandika maneno yote hayo, neno uchochezi linatosha. Hujui hadi humu JF kuandika neno ki.la.za ni kosa kwa sasa!
 
Hivi kudai democrasia na utawala wa sheria nayo ni kosa????.....halafu kuna haja gani ya kutaja kabila la mtu??......Are they kidding??!
 
Back
Top Bottom