Mkutano Mkuu wa CHADEMA majimbo ya Nyamagana na Ilemela watikisa Mwanza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,733
218,318
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa kutoka Mwanza, Kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kwenye majimbo ya Ilemela na Nyamagana kinafanya Mkutano Mkuu kwenye Majimbo, Mkutano huu ni kwa Mujibu wa Katiba ya Chama.

Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika ataongoza Mkutano huo.

Bali kilichoshangaza wengi ni kusimama kwa shughuli zote Jijini Mwanza, kutokana na mkutano huu wa CHADEMA, hakuna usafiri wowote unaenda pengine zaidi ya uelekeo wa Mkutano, jambo hili limeanza kuzitisha Mamlaka za Mji huo.

Lakini tunajiuliza, kulikoni CHADEMA kuungwa mkono kwa kiwango hiki, tena kwenye mkutano mdogo wa majimbo tu?

FB_IMG_1672315474740.jpg
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa kutoka Mwanza, Kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kwenye majimbo ya Ilemela na Nyamagana kinafanya Mkutano Mkuu kwenye Majimbo, Mkutano huu ni kwa Mujibu wa Katiba ya Chama...
Propaganda hiyo.

Mkutano wa ndani watu Zaid ya ml 2 waache shughulikia mambo mengine!!!!!

Ukumbi huo ni kama ARENA ya Sansiro???

Fanyeni mikutano ya hadhara, acheni UOGA😠😠
 
Niko.hapa Diamond....watu wanashangilia kuona bendera zinapepea kwenye magari

Tuwache utani Chadema inapendwa na WaTanzania ....ndo maana Sisiemu wanafyata mikutano ya Hadhara

Gari zinapita watu peeeeopleeeees
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa kutoka Mwanza, Kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kwenye majimbo ya Ilemela na Nyamagana kinafanya Mkutano Mkuu kwenye Majimbo, Mkutano huu ni kwa Mujibu wa Katiba ya Chama...
Aisee yaani kama chadema inaishi kwa propaganda kama za kina eryth..basi hiki chama kina mwisho mbaya.

Chadema ambayo ilikuwa na wasemaji kina Makene leo hii mtu anajiandikia tu JF chadema yatikisa. Hakuna picha hakuna nini yaani hata ACT hawana propaganda hizi. Huo ni utoto na unachafua hiko chama.

Zamani ilikuwa taarifa hiyo inaambatana na picha kama hivi. Hii ilikuwa 2010 huko.

CHADEMA%20PHOTO.%202.JPG
 
Aisee yaani kama chadema inaishi kwa propaganda kama za kina eryth..basi hiki chama kina mwisho mbaya.

Chadema ambayo ilikuwa na wasemaji kina Makene leo hii mtu anajiandikia tu JF chadema yatikisa. Hakuna picha hakuna nini yaani hata ACT hawana propaganda hizi. Huo ni utoto na unachafua hiko chama.

Zamani ilikuwa taarifa hiyo inaambatana na picha kama hivi. Hii ilikuwa 2010 hukoView attachment 2462276
Endelea kutufuatilia hapa hapa jf
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa kutoka Mwanza, Kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kwenye majimbo ya Ilemela na Nyamagana kinafanya Mkutano Mkuu kwenye Majimbo, Mkutano huu ni kwa Mujibu wa Katiba ya Chama...
wewe muongo Sana vile viboda boda vitano na kamkweche kenu useme shughuli zimekwama kwa kweli una matatizo Sana ya olbla
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa kutoka Mwanza, Kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kwenye majimbo ya Ilemela na Nyamagana kinafanya Mkutano Mkuu kwenye Majimbo, Mkutano huu ni kwa Mujibu wa Katiba ya Chama...
Mjii umesisma, hiace zote zinaelekea mkutanoni mbona mm nipo mwanza haya siyaoni au mwanza ipi?
 
Back
Top Bottom