Picha: Aibu Uchaguzi wa UWT

angemwambia tu jafferrey aanzishe chama, angekuwa hana mpinzani! hawana hata aibu, wamama wazima hovyooooooo!
 
Ritz na zomba mama zenu wanavuana nguo mupo wapi?...ingekuwa chadema pangechafuka humu jf
 
Aibu tupu,sasa hawa wanatofauti gani na wale wanaosutana uswahilini?
Gamba ni gamba tu, likiwa la kike, gamba, likiwa la kiume, gamba, likiwa la kijana, gamba, hata likiwa la mzee bado ni gamba tu. "Kila mtu alitoa rushwa sema walizidiana viwango"-Baba Mwanawasha 'AKIKEMEA' rushwa katika uchaguzi
 
dah............. hiki kidada sasa kiachane na saisa kisome basi kiwe someone
 
Shyrose amependeza sana, na kama hilo swali aliloliuliza ndilo lililomchefua bi Simba

Nadhani hana busara ya kuongoza wanawake wa Tanzania wa CCM

KAngeshukuru kwa swali zuri , kwani kuuliza si ujinga, kisha angetoa na mifano halisi ya ushiriki wake wa kukitetea chama si ushabiki wa wapambe wake

ÑaoNa kidole juu katoa yeye....mwenzie kauliza swali tu, hovyo mtu mzima Simba
 
Mkuu huyu mama ndo mwenye matatizo

kama kashinda kwa kura zote zile, basi wanawake wengi wana matatizo kuliko tulijualo, na kama ni hivyo basi shyrose aachanae na wenye matatizo ajenge maisha yake na familia yake, umri unaenda na yeye yuko bize kushindana na wenye matatizo sugu
 
kama kashinda kwa kura zote zile, basi wanawake wengi wana matatizo kuliko tulijualo, na kama ni hivyo basi shyrose aachanae na wenye matatizo ajenge maisha yake na familia yake, umri unaenda na yeye yuko bize kushindana na wenye matatizo sugu

Magamba ushindi wao mara nyingi ni wa rushwa, ata ingekua sanamu lakini imetolewa fedha ingechaguliwa. Wamama wenyewe hao kazi hawana, elimu hawana kazi ni umbea tu kwe vijiwe vya kuuza miguu ya kuku na utumbo
 
Alafu hawahawa uwt wanasema tanzania imefika wakati wa kuwa na raisi mwanamke, du kazi tunayo.
 
Back
Top Bottom