Picha: Aibu Uchaguzi wa UWT

Shyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.

attachment.php

attachment.php
chupi za wazito wa ccm hizi zikiwa kwenye kitchen party.....LOL..
 
Wengi viongozi wa UWT wanatumika tu kimapenzi na kutumia fedha za chama na za watanzania kwa ajiri ya kumaliza hamu za kimwili na kimaisha. Niwie radhi kama mama yako au dada yako yupo humo. Mpeeeniii rahaaaa sophiaaaa mpeni raha ...aaeeeh mpeni raha.. Siasa za kishenzi sana.
 
Shyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.

attachment.php

attachment.php
sasa hawa ni akina mama wa nyinyiem sasa usiombe ukutane na binti zao
 
ooh, mi nafikiri muda umefika sasa wa kuwa na jina mbadala la umoja huo,kwa kuwa sasa kumekuwa na mfumo wa vyama vingi., nashauri jumuiya hii ya wanawake Tanzania yaani (UWT) sasa litafutwe jina jingine lenye muelekeo wa CCM,. Kwakuwa jumuiya hii si ya wanawake wote wa Tanzania....
 
Shyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.

mbona sioni dalili za sofia simba kumshambulia banji?duu kuna watu kwa kuyakuza

mbona huyo sofia simba hana dalili za kuinuka kwenda kumvaa shyrose au sijui kusoma gestures,haaaa haaa exagaration teh teh

attachment.php

attachment.php

mbona sioni dalili ya sofia simba kuinuka kwenda kumshambulia banji,how did u know that intention?haaa haaa kuna watu kwa kuyakuza ni noma
 
wanaiiba taarabu haoo, si unaoona anamwambia ngoja nifunge kitenge...hapo chacha.....hapo chacha... mdundu huo...
 
Shyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.

attachment.php

attachment.php

Chama kikishalewa madaraka , basi ata ethics na integrity ya wajumbe huwa siyo kipaumbele.Cheki haya matendo ya hawa wajumbe. Keki ya taifa inagomaniwa kwa kila njia.
 
Wamezoea kupewa maswali kabla, hawezi maswali ya papo kwa papo ndiyo maana hata Mwenyekiti wao anakimbia midahalo. Sijui huwa hawaoni wenzao kama sasa tunavyoshudia Obama na Mitt Romney!

Ukiwa mwa CCM akili yako pia ina approach to ZERO.
 
Huyu mama wanampendea nini mbona hata kwenye campain za ccm huwa simwonagi au kazi yake haimruhusu.

muulize shy rose alivyojibiwa kuwa hawamuwezi anajua anachotumia kupata madaraka. maana nchii viongozi wanapewa madaraka lakini hawana sifa za uongozi kabisa. nasikia majority ni ndumba kwa kwenda mbele ndio inawapa madaraka ndio maana wakishapata madaraka hawonekani kitu wanafanya yaani wanakalia viti kwa kutegemea hiyo hiyo ndumba
 
Yan Shyrose nae anamnyooshea mtu kidole!! Hizo guts anazitoa wapi?? Aisee kweli mijitu ya CCM noma NO AIBU KABISA

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ujumbe ni kwamba mwanamke hata asome kiasi gani, apewe cheo kikubwa mno yaani cha juu, bado ata-behave kama a girl child; na mbaya sana wanawake wakikusanyika sehemu bila wanaume basi mambo yanakuwa shaghala baghala. Je, ni sahihi kuwaweka wengi wa hawa kwenye ngazi za juu za maamuzi?!

Kama wote hawa ni watoa na wapokea rushwa, vita ya rushwa itaisha kweli?!

Ndo maana uarabuni mwanamke haaminiwi
 
Back
Top Bottom