Philemon Luhanjo: Ni nini kazi yake? Mbona hastaafu?

NATA,
Sidhani kama ni sahihi kusema kwamba hajapatikana mtu wa kumreplace. Utitiri wote tulionao wa wasomi kuanzia maafisa wa waandamizi wa serikali, Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Mashirika ya Umma, Wilaya, na Majiji si sahihi kusema kwamba Philemon Luhanjo hajapata mtu wa kumreplace. Mbona alivyoondoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kama KM nafasi yake ilifanyiwa replacement fasta? There is a hidding secreat between Luhanjo and Kikwete.

Wengi wao ni magamba
 
Hajapatikana mtu wa kumreplace.
...Ah! kweli??!! au ndio yale mambo ya kubebana ili kusogeza cku?....Lakini hawa watu inatakiwa cku moja tuwafikishe mbele ya vyombo vya sheria kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma.
 
Bado wanampa experience anayeandaliwa kuchukuwa nafasi alikuwa RAS Moro sasa kapewa PM Tamisemi bado juniour hata serikali haijui ila mambo ya kupeana karata imemuangukia yeye maana Mjomba wake ni Rais.
 
Majibu mengi ya matatizo yetu yako kwenye katiba mpya. Tanzania tunaye RAIS ambaye ni MFALME yuko juu ya sheria za nchi. Ndiyo maana JK anaendelea kuvunja sheria za nchi with IMPUNITY kwasababu anafahamu madhaifu ya katiba yetu.

JK anaweza kuendelea na Luhanjo hadi 2015 na hakuna utakachomfanya. This is ONLY POSSIBLE IN TANZANIA.
 
Acha hilo, kuna mikoa haina wakuu wa mikoa, kuna wilaya hazina wakuu wa wilaya na maisha yanaendelea. Hii maana yake ni kwamba hawahitajiki kwenye katiba mpya.
 
HAWEZI KUONDOKA MPAKA AMTIMIZE BLANDINA NYONI ALIYOMWAHIDI

UKURUGENZI NSSF au TRA
 
Ndugu zangu wana JF,

Kuna tetesi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Bw. Philemon Luhanjo alifikisha umri wa kustaafu tangu mwishoni mwa awamu ya kwanza (2005-2010) ya urais wa JK.

Kama hivyo ndivyo, mbona hadi sasa bado anaendelea na kazi? Au Rais ana mamlaka ya kikatiba ya kuamua KMK wake aendelee na kazi hata kama amefikisha umri wa kustaafu ilimradi tu anamwona anafaa? Tafadhali wana JF wenye ujuzi wa haya masuala ya utumishi wa umma wanifahamishe.

Kuna hoja tumewahi kumjadili ndani ya JF kwa kirefu HAPA

Ni katibu Mkuu kiongozi na pia ndie mkuu wa utumishi wa umma Tanzania
 
aondoke aende wapi?

hajamaliza kazi mnataka aondoke

mpaka apate wa kumrithi na mpaka ampe Blandina kazi TRA au NSSF au PSPF
 
Hapana makatibu wakuu siyo wanasiasa ni watumishi wa serikali. Ila kama mtumishi mwingine wowote anaweza kupewa mkataba baada ya kustaafu.

Kwa suala la Luhanjo sijui likoje lakini habari zilizozagaa ni kweli alishafikisha umri wa kustaafu ila muda uliobaki kabla uchaguzi ulikuwa mdogo nadhani Mkulu anangoja wakati atakapokuwa anapanga upya makatibu wakuu baada ya kupanga mawaziri wake.

Anyway is my pure guess lakini ukweli wanao wenyewe.

Assuming Mzee Luhanjo amefikisha umri wa kustaafu kama baadhi ya watu humu walivyodai, nani anahoji mamlaka ya kisheria ya Rais kama mkuu wa Executive kumpatia nyongeza ya muda wa utumishi mtu yeyote ambaye, kwa maoni na utashi wake, anahitajika kuendelea kutumikia Taifa katika nafasi yoyote ile? Tuliyaona hayo hata wakati wa mzee Rupia na watumishi wengine wengine katia taasisi mbalimbali za umma.
 
HAWEZI KUONDOKA MPAKA AMTIMIZE BLANDINA NYONI ALIYOMWAHIDI<br />
<br />
UKURUGENZI NSSF au TRA
<br />
<br />
Sasa ya BLANDINA yanakujaje hapa! Wanaume wengi tuna kasumba ya kufikili wanawake hawawezi ku-advance katika carrier zao mpaka wabebwe na wanaume - what a monstrous male Chuvanism!! Tabia hii huwa inanishangaza sana. Hapa naona mnamuandama pia Luhanjo! Luhanjo anawakela nini? Sisi members wa forum hii tuna mamlaka gani ya kumchagulia JK watu wa kufanya naye kazi. Luhanjo is a no nonsence fella haumi umi maneno au kutaka ku-please watu, kusema kweli JK ali-hit a bull's eye kwa kumu-appoint as KMK and don't you forget kwamba actions speaks volume - Luhanjo is a man of action age notwithstanding, ni mmoja wa viongozi wachache nchini mwenye kutoa mahamuzi promptly inapobidi bila ya kusubili mahagizo kutoka kwa RAISI. Give a patriotic Luhajo a break achape mzigo mwenye kuamua hatma yake ni JK pekee, sisi hatuna mamlaka ya kumchagulia JK watu wa kueanya nao KAZI.
 
Back
Top Bottom