Binti mcharuko
Member
- Nov 2, 2010
- 5
- 0
Huyo ataondoka na bosi wake!
via Mobile
via Mobile
NATA,
Sidhani kama ni sahihi kusema kwamba hajapatikana mtu wa kumreplace. Utitiri wote tulionao wa wasomi kuanzia maafisa wa waandamizi wa serikali, Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Mashirika ya Umma, Wilaya, na Majiji si sahihi kusema kwamba Philemon Luhanjo hajapata mtu wa kumreplace. Mbona alivyoondoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kama KM nafasi yake ilifanyiwa replacement fasta? There is a hidding secreat between Luhanjo and Kikwete.
...Ah! kweli??!! au ndio yale mambo ya kubebana ili kusogeza cku?....Lakini hawa watu inatakiwa cku moja tuwafikishe mbele ya vyombo vya sheria kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma.Hajapatikana mtu wa kumreplace.
Ndugu zangu wana JF,
Kuna tetesi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Bw. Philemon Luhanjo alifikisha umri wa kustaafu tangu mwishoni mwa awamu ya kwanza (2005-2010) ya urais wa JK.
Kama hivyo ndivyo, mbona hadi sasa bado anaendelea na kazi? Au Rais ana mamlaka ya kikatiba ya kuamua KMK wake aendelee na kazi hata kama amefikisha umri wa kustaafu ilimradi tu anamwona anafaa? Tafadhali wana JF wenye ujuzi wa haya masuala ya utumishi wa umma wanifahamishe.
Kuna hoja tumewahi kumjadili ndani ya JF kwa kirefu HAPA
Hapana makatibu wakuu siyo wanasiasa ni watumishi wa serikali. Ila kama mtumishi mwingine wowote anaweza kupewa mkataba baada ya kustaafu.
Kwa suala la Luhanjo sijui likoje lakini habari zilizozagaa ni kweli alishafikisha umri wa kustaafu ila muda uliobaki kabla uchaguzi ulikuwa mdogo nadhani Mkulu anangoja wakati atakapokuwa anapanga upya makatibu wakuu baada ya kupanga mawaziri wake.
Anyway is my pure guess lakini ukweli wanao wenyewe.
Katiba - Ibara ya Ngapi?
<br />HAWEZI KUONDOKA MPAKA AMTIMIZE BLANDINA NYONI ALIYOMWAHIDI<br />
<br />
UKURUGENZI NSSF au TRA