Makindi N
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 1,066
- 173
Katiba - Ibara ya Ngapi?
Ni mkuu wa Utumishi wa Umma, soma employment and labour relations Act of 2004, ni secretary to the cabinet soma Katiba Article 60 (kazi zote zimeanishwa huko).
Katiba - Ibara ya Ngapi?
Ni mkuu wa Utumishi wa Umma, soma employment and labour relations Act of 2004, ni secretary to the cabinet soma Katiba Article 60 (kazi zote zimeanishwa huko).
60. Kutakuwa na Katibu wa Baraza la Mawaziri ambaye atakuwa ndiye mtendaji mkuu katika Ofisi ya Baraza la Mawaziri, na atatekeleza shughuli zifuatazo kwa kufuata maagizo ya jumla au maalum atakayopewa na Rais, yaani:
(a) kuanda ratiba ya mikutano ya Baraza na kutayarisha orodha ya shughuli za kila mkutano;
(b) kuandika na kuweka kumbukumbu za mikutano ya Baraza;
(c) kutoa taarifa na maelezo ya maamuzi ya Baraza kwa
kila mtu au chombo cha umma kinachohusika na uamuzi wowote; na kutekeleza kazi na shughuli nyingine zozote atakazoagizwa mara kwa mara na Rais.
###########################
Katibu Mkuu Kiongozi ndiye Katibu wa Baraza la Mawaziri
Na yeye ndiye Katibu Mkuu Kiongozi!
Hivi kazi yake ni nini haswa? And please dont give me his job description. Hivi yuko pale alipo anafanya kazi gani haswa?
Just curious
Katibu Mkuu Kiongozi ndie Katibu wa Baraza la Mawaziri kwa nafasi yake!
Yupo kwenye kamati ya fitna! msafishaji mkuu wa madudu ya kikwete!
TzPride umenena. Unajua, sometimes jazba na mzaha uachwe pembeni. Ebu kaulize Wabena na Wakinga wote walio madarakani ambao hata mtoto mdogo anajua hawafai lakin wako kwenye nafasi kubwa za madaraka. Matokeo yake, ofisi hizo zinakwiba hovyo hovyo tu mali ya umma na kesi zikifika Ikulu zinazimwaaaaaaa!!! Nani anasema Ukabila Tanzania hakuna??????? Amuulize Luhanjo. Gazeti la ''MwanaHalisi'' waligusia hili lakini nao sijui walimezeshwa gololi!!!!???
Hivi kazi yake ni nini haswa? And please dont give me his job description. Hivi yuko pale alipo anafanya kazi gani haswa?
Just curious
Hajapatikana mtu wa kumreplace.