Pheeeeewwwww

Huwezi kunifanyia mpango na mie nikapata hako kahongo?

Ntakuwa mnoko hadi kwa mods, nawala ban wote nabaki mwenyewe.

Hehehee sasa ukibaki mwenyewe ndo inakuwaje tena kama si kujila ban na wewe?

Subiri nikifikia umri wa kustaafu nitakupendekeza
 
Nijile ban tena??

Naanzisha sred nayotaka, natumia maneno makali afu sijili ban.

nikiangalia tu avatar au ID ya mtu nisipoipenda, namle ban ya milele.

Hehehee sasa ukibaki mwenyewe ndo inakuwaje tena kama si kujila ban na wewe?

Subiri nikifikia umri wa kustaafu nitakupendekeza
 
Back
Top Bottom