Pheeeeewwwww

Mimi naelewa kabisa unachokisema lakini watu kaa bht hata hawajui unaongelea nini.
Sasa nyie kama mnaona sio haki ,nakubalije?

Halafu kuna ile mtu anakuanza yeye, mi huwa naona angekula ban yule anayeanza uchokozi bana...
 
Sasa nyie kama mnaona sio haki ,nakubalije?

Halafu kuna ile mtu anakuanza yeye, mi huwa naona angekula ban yule anayeanza uchokozi bana...

Ongea na rafiki yako Paw umwambie yule anayeanza uchokozi ndo wa kulimwa seva ban
 
Hivi unaiba unyoya wa kuku, afu unahukumiwa kifungo cha maisha bila kwenda mahakamani wala loya wako kuitwa.

inauma sana, bora kuwa rebellious maana hata ukiuliza kwa upole utafungwa tu.

Hehehee uliuliza tu bila ruhusa ya spika na wewe?
lol...ukijiweka mbele kaa fundo la msuli unaliwa kichwa....
Sasa unaumia nini Kongosho lakini, hebu sema....
 
Aisee kule u turn ukifungua unakutana na era, mi niliona uzi asbh nikafata link nikakuta ola, kapatwa na nini?

Karudi hewani mbona.....msome hapo

U-TURN FOREVER BABYYYYYYYYY.....
Written by Mange
Friday, 13 April 2012 15:55

Hey guys,

At first we thought ni kwamba hits zimezidi sana uturn mpaka server imeelewa, which is what the host was telling us. Ila sasa tumejua kuwa some people are attacking the website. Kudadeki wabongo noma…lol…

Anyways, we are here to stay unless I DECIDE nimechoka kublog….so acheni kujisumbua na vi certificate vyenu vya hacking 101…..

By the way I didn't know uturn ni ya maana kiasi hiki, hivi did u guys see the twitter rant about U-turn being closed down by Chadema or google ? hahaha…..
Hivi huwa mnapataga wapi hizi habari?

Anyways, thanks to the few of u who actually called me or sent me fb msgs kuniuliza….

U-TURN FOREVER BABY…..

PS: ACCORDING TO THE ADMINISTRATOR HITS ZA UTURN ZIMEONGEZEKA BY 35% IN LAST 2 WEEKS... THANK YOU WAPENZI WANGU NA HATA HATERS AHSANTENI KWA KUINGIA HUMU BILA NYIE HAKUNA MIE...NYIE NDO MOTIVATION YANGU YA KUENDELEA KUWA JUU ZAIDI ILI NIWANUNISHE VIZURI....HAHAHAHHA..MTASONYAJEEEEEE????????
 
Buguruni sheli wakati mie sina gari, unataka uninyweshe petrol?

Si bora useme buguruni kwa mama ntilie pale kwenye kiosk cha soda, ntakuona wa maana.
Dala dala za tabata - buguruni zipo kibao. Ukimuomba konda muda huu hata sh 100 anapokea. Ningekuja kukupic sema tu gar leo imekata wese na ATM haisomi kabisa!!
Karibu tunywe supu ya pweza hapa sheli!
 
Ongea na rafiki yako Paw umwambie yule anayeanza uchokozi ndo wa kulimwa seva ban
It should be seriously...maana wengine wapo tu ku provoke wengine kisha wanawasbabishia ban...
Halafu Paw tu ndo anapigaga ban?
Ntamwambia King'asti amshauri mchumbaake...

Yule jf mod 1je!?
 
It should be seriously...maana wengine wapo tu ku provoke wengine kisha wanawasbabishia ban...
Halafu Paw tu ndo anapigaga ban?
Ntamwambia King'asti amshauri mchumbaake...

Yule jf mod 1je!?

Yule JF Mod 1 naye rafiki yako yule. Ongea naye
 
Karudi hewani mbona.....msome hapo

Ama!!! Hivi watu wengine huwa wanajisikiaje kupotosha umma? Eti mtu kaaandika u turn yafungiwa rasmi, blah blah blah....eish some people bana, sijui vipi tu!

Btw: niliona picha yake yenye vi sprouts kwenye bang...nimecheka mbaya!
 
Hivi unaiba unyoya wa kuku, afu unahukumiwa kifungo cha maisha bila kwenda mahakamani wala loya wako kuitwa.

inauma sana, bora kuwa rebellious maana hata ukiuliza kwa upole utafungwa tu.
So unfair...heri uchukue sheria mkononi
Hehheeeee 'usininukuu'
 
Vaa hayo matairi mawili, na hayo mawili mengine uniletee.
Afu ufunguo wa gari ingiza sikioni, uwashe.

Dala dala za tabata - buguruni zipo kibao. Ukimuomba konda muda huu hata sh 100 anapokea. Ningekuja kukupic sema tu gar leo imekata wese na ATM haisomi kabisa!!
Karibu tunywe supu ya pweza hapa sheli!
 
Back
Top Bottom