Pheeeeewwwww

Mnyama Hatari

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
335
82
Kwa takribani saa zima na ushee JF haikuwa hewani kabisa na meseji niliyokuwa napata iko consistent na ile unayopata kama umekula server ban.

Sasa nikadhani ndo nshalimwa hilo ban kumbe wapi! Naona kulikuwa na hitilafu kubwa.
 
mi nmekutana na error 502 getaway problem. nikajua paw karudi.
 
Huwezi kunifanyia mpango na mie nikapata hako kahongo?

Ntakuwa mnoko hadi kwa mods, nawala ban wote nabaki mwenyewe.

Unoko tu ndo raha yake na tuhela tudogo dogo twa hongo na kuku wa intechick....hahahaaa ! Kuku sichukui nimeacha
 
Back
Top Bottom