Penzi la house girl

1 Wakorintho 6:18 SUV-SW

Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
 
hwa mahousegirl watatuua mwaka huu..just imagine anaenda na mumeo kupima kabisa ili wajihalalishie...si mama mwenye nyumba atapewa sumu hapo jamani?...huu mwaka hautaisha bila huyo mama kufa nakwambia..


mh hapo lazima nyumba iwe chungu.
 
Kwanza wanawake tunaooa these days kiburi sana penzi anakupangia ratiba mara denja mara mwezini,hao mabeki tatu ndio wenyewe mshahara umlipe halafu aliwe na madere wa boda2 no kula tunda mwana jiachie tena saomtime pangeni mtoko mpeleke hotel za ufukweni na yeye akaione dunia

Kwa hiyo unataka mkeo akiwa mwezini umuingilie?hata wanyama wana staha
 
Wanaume tuna mbinu,Wanawake wana mitego! Kama kuna ambae anajiona yeye ni msafi awe wa kwanza kumtuhumu huyu jamaa! Jamani mapenzi yaacheni kama yalivyo,hawa ma housegirl bwana dah..any way..siwezi kumlaumu jamaa labda ndio maisha aliyochagua! Na kuomba ushauri inategemea kichwani mwake anaamini nini,kama tayari ana jibu lake basi tunajifariji tu,narudia tena Mapenzi tuyaache tu kama yalivyo!
 
Kama Hujaoa, nenda kwa wazazi wake ukarekebishe.
kama una mke, mueleze na umuombe akakupelekee posa kwao hgeli ili arudi na mwingine Mkali zaidi ili ukimpenda Unamuoa mke wa tatu
 
Waoeni basi kwa sababu hawana kiburi.Mwanamke ukimtimizia haja zote hawezi kuwa na kiburi


Ushauri tu...kwenye "chicken party" wanawake wawaalike wanaume...wawaeleze matarajio yao...maana naona 'zilongwa mbali, zitendwa mbali" siku hizi
 
Back
Top Bottom