Penzi la house girl

Uswauri wangu kwako piga ndoa nae sbb umekiri ume fall in love so usiutese mwili na unajua dini zte na kabila pia zinaruhusu mke zaidi ya 1 ila uchache wa kivielewa vizuri vitabu vya Mungu ndio watu wanatishana kwa lengo la kuipa zinaa nguvu sbb ww ushaoa wake 3 mm na mwingine tunao labda 2 makahaba watakwama na tukienda ktk night club wadada watachunda sbb kila men anao kibao wa halali hme

Fikra finyu & shame on you
 
Kul tunda mkuu jivinjari,mtu umlipe mshahara mwenyewe halafu aliwe na waendesha boda boda au walinzi,kula tunda mi mwenyewe kuna kahouse girly kapya wife kakaleta kananivutia lazima nitakachinja soon

Tuonyeshe busara zako na siyo upumbavu wako
 
umeoa?
kama umeoa unadhani ni sahihi kumtenda hivyo mkeo?
jiweke kwenye viatu vya mkeo, ukisikia mkeo anatembea na shamba boy ungejisikiaje?
usimtendee mwenzio vile wewe hupendi kutendewa...
wanaume wanaokula hg, hawana shida kula mpaka shemeji zao....

unaposema mmepima, mmepima ku-ensure nini? au nani?
kitendo cha kutoka kwenda kupima ni kuwa umehalalisha huo mchezo na huna nia ya kumuacha, unatafuta justification tu hapa.....

pia mlivyomchukua binti wa watu mliweka mkataba wa kufanya kazi za ndani au kazi za kitandani? kwa nini mnadharau ajira za watu? kwa nini unamrubuni huyo binti? kuwa na miaka 20 sio tatizo what if kakubali ili asipoteze kibarua chake?

na wanawake waote waliojaa mtaani hukuwaona mpaka ukanajisi nyumba yako mwenyewe?
ni dharau kubwa kwa mkeo(kama una mke) na kwa wazazi wako (kama unaishi na wazazi)

ila wanasema kila mchuma janga hula na wakwao.... na mkataa pema pabaya panamuita......nakutakia "msuguano " mwema na binti wa watu, umtie ujauzito, mjaze dunia......





Actually ana miaka 20 na kupima ilikuwa ku-ensure usalama wetu. kuhusu kubaka si tunaelewana wajameni
 
Uzinzi mbaya sana hasa ukishakuwa mlevi wa unzi ndo unakuja kujisifu mpaka kwenye mitandao eti tena umeshindwa kumwaacha
 
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya. Naombeni ushauri, nitafanyaje ili niweze kuachana nae?

Kupima afya sio kigezo cha 'kuchovya chovya' hata ma-housegirls....na kupima afya mkajikuta wazima haina maana ndio mtakuwa wazima milele na hizo risky behaviors!
 
Hujatuambia kama umeoa ama la!

Kama hujaoa sioni shida ila kama una mke that is too low..
 
Amen 4 that my dear, kha mahousegirl, ngashtuka kwa kweli........
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii umeoa?? naweza data, nikisikia haya makitu kwa hubby! Holly Mary of GUADALUPE, pray for all wives in their matrimonial marriages! TUFIAKWA!
 
Kama una mke tulia na mkeo tu!
Funga nae ndoa kama hauja oa!
 
Himo one unatisha mzee makoment yako yako juu. Suala la kiburi ni kweli wanajifanya wapo busy hadi suala la ndoa halina nafasi
 
Mbona hujib kama umeoa au la, watu tunashindwa kumwagika coz hatujui hlo heb uje ujib bwana
 
kama haujaoa na huna mwanamke wala hakuna tatizo..vuta mashine weka ndani ila ka umeoa hiyo itakua issue.. siku hizi hii tabia ya kula ma house gal naona inazidi..hivi ni kwamba ni watamu kiasi cha kumsahau mkeo ama?
 
Back
Top Bottom