Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

Kujipendekeza kwingine kunazidi urefu wa akili yako Arusha ina hati chafu fedha za wananchi zimegawiwa akina Salma,Ridhiwani Jakaya leo unawaambia watu wa Arusha ujinga gani,Tangu 1995 CCM haijawahi kushinda Arusha na haita shinda kwa sababu matatizo ya msingi na mtandao wa mfumo wao mbofu wa uboreshaji wa huduma za jamii Arusha hawajaufanyia kazi na hata akili za namna ya kufanya hawana zaidi ya kuchora raketi waibe kiwanja kipi,ngozi,ipi dini gani,na mbuga gani wawape waarabu ,Arusha wamechoka kuwa waosha makalio ya wazurumaji tena wana Arusha ni waelewa hawatakubali kupakwa masizi wakaambiwa ni poda
umesema....hilo la kuwapa mbuga waarabu ndilo haswa linalofanya watawala wa ccm waigombanie arusha kwa udi na uvumba....kama kuna kitu nchi hii kinamnyima usingizi JK ni jimbo la arusha....watawala wamediriki hata kuipinga amri ya UNESCO ya kutoruhusu ujenzi wa highway kwenye mbuga...kuanzia arusha hadi serengeti.....musoma..ili tu wafanikishe malengo yao machafu ya kuwekeza arusha kwa kupitia mbuga....inauma yaani....
 
Nimemsikia Mgamba mmoja akidai eti Nape ndiye atakayeongoza hilo pambano ili wachukua jimbo, Nakutuma kwa Nape mwambie asisahau kuongeza idadi ya masinia kwakua walaji watakua wengi kuliko hawa.

CCM+Kampeni.png
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Nadhani umeingia chooni ukatoka bila kutawaza,sasa timiza wajibu kwani kila tukio lina taratibu zake.Ukimaliza hilo ndio uje na mawazo mapya
 
njaaaa peke ndio itakayo kurudisha CCM, maana nyie ndio vijana wavivu mnaoishi kwa vihela vya kiupewa na watu, fanya kazi acha siasi sio mkombozi wako

Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Wewe zoba kweli na wewe si kijana wa Arusha labda wa tanga au wewe kijizee cha ccm alafu unajifanya kijana. Mimi ni kijana wa Arusha na nawakilisha vijana wa Arusha ambapo hapa ukizungumzia ccm kwenye Group la watu hapa Arusha unaweza pigwa mawe huku wakikuita mwizi {fisadi}
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Itisheni uchaguzi uone mtakavyotua mashuzi tu jukwaani.
 
Mimi nipo Arusha na ni mwanachama wa CHADEMA lakini nimeshapata ushawishi wa vijana 10000 mpaka sasa hivi wenye kadi za CHADEMA. Kwa hiyo namsubiri Nape afike A - TOWN kuvisha watu uzalendo.Na muelewe kwamba nguvu ya uma ipo CCM.

Wataje kwa majina angalau hata kumi na mahali wanapotoka.we mzee acha longolongo na uzandiki wako wakifisadi.
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
Upo arusha gani arifu? Au upo matejoo?? No wonder ushajilipua na kijiti cha sinoni daraja mbili!! Godamn!!
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Mungwana anasemea nafsi yake.
Karibu CCM uje ule maisha na hata tenda za kusafirisha malihai nitakukabidhi usimamie.
 
Mimi nipo Arusha na ni mwanachama wa CHADEMA lakini nimeshapata ushawishi wa vijana 10000 mpaka sasa hivi wenye kadi za CHADEMA. Kwa hiyo namsubiri Nape afike A - TOWN kuvisha watu uzalendo.Na muelewe kwamba nguvu ya uma ipo CCM.
Du! ukiwa kijana mjinga kama huyu bora ujikane mwenyewe maana unawahuzunisha bure wazazi wako.
 
Vijana 10000 wa Atown!? Labda misukule. Kwa taarifa yako Arusha nitofauti na unavoifahamu, subili uchaguzi ndo utatufahamu.
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
gamba unaf.........rwa
 
sasa hivi sisi vijana wa arusha tunategemea kujiondoa chadema na kuhamia ccm, kwa sababu ccm imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
wewe arusha ya wapi??sisi vijana wa a town hatuwazi kurudi misri teeeeena,,ccm bye bye...............ccm arusha ni kama tlp tu kwani haipo
 
gamba utakuwa unaf............rwa
 
Back
Top Bottom