Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

longb

Member
Apr 18, 2012
21
1
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa cdm na kuhamia ccm, kwa sababu ccm imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa,ufisadi, makundi mbalimbali.Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

hizo ni ndoto za kufikirika,vijana wa Arusha hawawezi kuhamia ccm , hatudanganyiki ! Miaka yote hamsini mlikuwa wapi msiwakumbuke vijana?
 
Binadamu ameumbwa kuwa na huruma. Ukienda hospitali akamwona mgonjwa kuwa kwa jinsi hali ilivyo mbaya hatapona !!! Unamwambia kuwa asijali atapona, halafu ukifika nyumbani unapigiwa simu kuwa amefariki !!! Unabaki unasema niliona kuwa hali yake sio nzuri, ila sikutaka kusema.
 
Wewe dogo kwani kukaa Arusha lazima upulize cha Arusha??tumia kidogo ili usigundulike haraka
 
Mimi nipo Arusha na ni mwanachama wa CHADEMA lakini nimeshapata ushawishi wa vijana 10000 mpaka sasa hivi wenye kadi za CHADEMA. Kwa hiyo namsubiri Nape afike A - TOWN kuvisha watu uzalendo.Na muelewe kwamba nguvu ya uma ipo CCM.
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa cdm na kuhamia ccm, kwa sababu ccm imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa,ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:
Aha maneno eti, unanjaa sana mchana huu?kama vipi njoo uchukue buku upate hata kwa mama lishe. Maana unayoyaongea hayaeleweki!
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Sijangiagi thread uchwara hii,,,, tupa kule!
 
Kujipendekeza kwingine kunazidi urefu wa akili yako Arusha ina hati chafu fedha za wananchi zimegawiwa akina Salma,Ridhiwani Jakaya leo unawaambia watu wa Arusha ujinga gani,Tangu 1995 CCM haijawahi kushinda Arusha na haita shinda kwa sababu matatizo ya msingi na mtandao wa mfumo wao mbofu wa uboreshaji wa huduma za jamii Arusha hawajaufanyia kazi na hata akili za namna ya kufanya hawana zaidi ya kuchora raketi waibe kiwanja kipi,ngozi,ipi dini gani,na mbuga gani wawape waarabu ,Arusha wamechoka kuwa waosha makalio ya wazurumaji tena wana Arusha ni waelewa hawatakubali kupakwa masizi wakaambiwa ni poda
 
Hili jimbo linachukuliwa na CDM bila hata ya kufanya campaign
kwa hiyo wala hatuna wasiwasi kabisa angalia hapa kwanza

598826_10151171398088906_1041643411_n.jpg

564826_10151171396163906_321393759_n.jpg
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Watu bana! eti bila aibu unasema imeanza , yaani leo ndo inaanza, duh! haya kachukue posho yako kwa Nepi kwa kazi nzuri
 
si mwanachama wa chadema ww acha uongo,mwanchama gani wenzie wanasonga mbele yy anarudi nyuma?kwa lipi walilokufanyia magamba ,kama maisha yanatupiga kila siku.masnitch kama nyie mpo popote hatushangai
 
Back
Top Bottom