Penda usipende CCM inachukua jimbo la Arusha kwenye uchaguzi mdogo

sio njaa, wala sina njaa ya kuchukua buku yako.Bali tunataka kujenga nchi sio kuzunguka nchi nzima na kuchangisha hela kama kanisani. Turudi na wale walio onyesha dhamira ya kupokelewa na Nape wasikate tamaaa.Turudi Tujenge chama na kuwatetea wanyonge.Dhamira ya kweli haikwamishwi na propoganda za majukwaani.

Ahaaaa,kumbe unaomba werevu wakuunge mkono kwenye upumbavu wako unaofikiria!!hakika kwa ccm hii,ukiweza kuwashawishi vijana 3000 tu,kurudi ccm,Kikwete atakuwa tayari kukupa u PM,achilia mbali hao 10000 uliowaota!hivi umeshawahi kuuona umati wa watu 10000??kweli we kicheche.
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Hivi unafikiri utarudisha uhai wa CCM kwa kuandika post za kijinga humu JF? Nenda kwa wananchi muwaambie ni nini mnachokifanya kuondoa kero zao!!!!

Tiba
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Kwa nini unatulisha maneno mdomoni,wewe jisemee mwenyewe kuwa ni mwana ccm koma kbs
 
Mbumbumbu huyu,laana kum....anaongea nini huyu rudieni uchaguzi tuwaonyeshe ar ni nini nchi au mkoa..
Kwa nini unatulisha maneno mdomoni,wewe jisemee mwenyewe kuwa ni mwana ccm koma kbs
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Ni sawa na Tanzania kuchukua kombe la dunia mwaka 2014.
 
Ukichoka kufikiri lazima ukate tamaa; ongeza uwezo wako wa kufikiri, hata wazungu walisema hivyo hivyo wakati wa kura mwaka 1960/58.
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Arusha kuna uchaguzi wa udiwani wa kata 6. Hakuna uchaguzi wa ubunge! hizi bangi za kuvutia msikitini ina athari kwenye ubongo!
 
Nalo hilo wazo! hongera kwa kuwa msemaji wa vijana wa Arusha

Endelea kuota ndoto ya mchana kuwa ccm inachukia ufisadi. umepewa masikio ya kusikia,macho ya kuona na pua za kunusa! ccm wanachukia ufiisadi hupi? Chenge ni miongoni mwa mafisadi wa mwembe yanga,jana kajiudhulu/kaondolewa uwaziri leo ndiye mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya fedha na uchumi! Unalijua hilo? wewe ni mwana ccm achana na kujidai kijana wa arusha, arusha haina vijana wachovu wa kufikiri wa aina yako!
 
Arusha kuna uchaguzi wa udiwani wa kata 6. Hakuna uchaguzi wa ubunge! hizi bangi za kuvutia msikitini ina athari kwenye ubongo!

Chadema haina kijana wa ovyo ovyo wa aina yako wa kufikiria tumbo,huku watu wanakuna vichwa. Watu wa akili ya aina yako ni akina nape! Hivi hata tv uangalii vijana wenzio wanavyokimbilia safina?
 
Karibu Jf Kamanda!
 
Huyo mgombea mtakaye msimamisha na Chadema lazima ngoma iwe hivi kudadaadeki!
382995_273238476063084_100001308023210_688739_979903962_n.jpg
 
Niambieni, Arusha ukimsimamisha JK kwa CCM na Matonya kwa Chadema nani atashinda?
 
Sasa hivi sisi vijana wa Arusha tunategemea kujiondoa CHADEMA na kuhamia CCM, kwa sababu CCM imeanza kumkumbuka kijana wa kitanzania na inaonyesha njia ya kutatua matatizo ya rushwa, ufisadi, makundi mbalimbali. Kama unachukia wewe chukia tu, habari ndiyo hiyo. :first:

Ngoja nitumie msemo wa zamani; KAMA UMETUMWA KAMWAMBIE HUJAMKUTA
 
Back
Top Bottom