Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 16,222
- 10,693
- Thread starter
- #41
Kumbuka mpaka sasa chadema ina miaka 32.je muda wote huo imeshindwa kujijenga katika mioyo ya watanzania?Sijasoma post yako yote ila ungetofautisha kwanza huyo Makonda kwasasa yuko madarakani na hao Chadema ndo wanajitafuta kuwaaminisha wananchi..
ko naamini hawawez kufanana hata kwenye sera zao.
Unachopaswa kufahamu ni kuwa CHADEMA imekataliwa na watanzania na kupuuzwa baada ya kuona kuwa ni vigeu,wanafiki na waroho na wenye uchu wa madaraka kama ambavyo kwa sasa wanapendekeza uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo.
Unakumbuka kuwa CHADEMA tangia 2008 walikuwa wakimtukana hayati Edward lowassa kila aina ya tusi,lakini ilipofika 2015 wakabadili gia angani na kusema waliyemtukana ni masafi kama malaika.sasa nani mwenye akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono watu wa namna hiyo waongo waongo na vigeu geu na wasio na misimamo?