Pata namba ya simu ya mtu yeyote ukiwa unalijua jina lake

Mie nlikuwa na idea kama hyo ya kutafuta namba ya simu kwa kutumia jina tatizo ni Capital, kwa sababu namba nyingi zimesajiliwa hivo hyo uduma inawezekana kaka changamka hata mpesa ilikuwa wazo kama lako.
 
ukitaka kumjua mtu kama una numbe ni rahisi voda unatumia huduma ya m-pesa unaweka number hiyo then kiasi una exceed amount iliyokwenye account yako then itakupa ujumbe wa kushindwa kufanyika kwa transaction na jina la ile number
Tigo na Airtel cjajaribu.

mkuu hii nimeikubali.....
 
YAANI ... Kichwa vcha habari na habari yenyewe tofauti......... MI nilidhani unatupa hiyo teknohama ya kufanya hilo jambo...... KUMBE WEWE UNATAKA TUKUPE
Upo sahihi kabisa, pata namba ya simu kwa mtu unayemjua jina halafu kumbe unauliza kama unaweza kupata namba ya simu!
 
inaonekana watu tunatamani kufahamu majina au number za watu lakini hatuna alternative... Nami nikiwemo ni namba ya mtu nataka nifahamu ni nani make alinistress one day! lol.. Mwenye maujuzi hayo atumwagie hapa basi
 
Mbona unaturusha roho? P.um.b.u zako. Kama anafanya kazi serikalini mwangalie kwenye government directory. Unaweza ku google ukaidownload
 
mtafute kwenye face book kuna wanaoweka namba zao, au utawasiliana nae huko akupe!
 
Back
Top Bottom