Wacha kutuzuga,
Kimoyomoyo umehuzunika sana kwa kaka yako kukikosa kile kiwanja,
Naskia ilikua awajengee wewe na Angel hekalu lenu pale.
Jokes!!!!
Hata akirudisha hebu wamtie adabu wamsweke jela kama liyumba., maana huyu jamaa anaonekana amezoea dhuluma.
Hata akirudisha hebu wamtie adabu wamsweke jela kama liyumba., maana huyu jamaa anaonekana amezoea dhuluma.
Ushauri, mama apewe ulinzi ili kuendelea kuishi maana hawa si watuwema jamani na mtandao wao mkubwa
Ninavyoona Msoffe atakwenda mahakamani na mambo yarudie ya DOWANS -alipwe! Fuwedha bwana!
Ndahani, they survive because of something known as 'connections'. They are well connected people.I don't understand why people like papaa Msofe survive all this long while the business he does could earn him a permant place at Keko or Ukonga. Are we comprised to that extent in handling people with akward ways of making money? Do we promote fame and fortune at the expense of creativity?
Ndahani, they survive because of something known as 'connections'. They are well connected people.
mkuu huyu jamaa ni noumer.usimchukulie kilahisi kihivyo.huyu ni tapeli wa kimataifa.
yaani ni next level.usimchukulie kama wale madalali tapeli.papa msoffe ndama mtoto ya ng'ombe ni balaa.usijaribu kuingilia anga zao kama unajivunia sheria za tanzania tu.ukikutana nao jifanye mjinga siku ipite vinginevyo byebye.mia
Ndahani, they survive because of something known as 'connections'. They are well connected people.
Maisha ya huyo mama yako mashakani sasa
ninaamini sangoma wa huyu mama ni kiboko
Wacha kutuzuga,
Kimoyomoyo umehuzunika sana kwa kaka yako kukikosa kile kiwanja,
Naskia ilikua awajengee wewe na Angel hekalu lenu pale.
Jokes!!!!
hapana mkuu sidhani.lakini papa msoffe ni mpare.rafiki yake ni ndama mtoto ya ng'ombe,papa mkuru na papa mkunzi.wote ni moto wa kuotea mbali.nakumbuka walimliza yule mama aliyekuwa anagombea kawe ccm na akina mdee.walijifanya usalama wa taifa eti wametumwa na rais awape hela ili ashinde.sina uhakika kama huyu binti anahusika.mia
Papa Msoffe kapewa siku saba awe amerudisha kiwanja alichomdhulumu bibi Devotha Mulai.
kiwanja hicho alikuwa amekipata kwa njia za mjini na kukizungushia ukuta na ndani kujenga nyumba. Msoffe alijitetea kwamba alikuwa hajapata malalamiko kutoka sehemu yoyote kwani hicho kiwanja anakimiliki kihalali.
Siku hizo alizopewa ni amri toka serikalini.
mia