papa msoffe kapewa siku saba.mwisho itakuwa 11/11/2011.

Ninavyoona Msoffe atakwenda mahakamani na mambo yarudie ya DOWANS -alipwe! Fuwedha bwana!
 
Wacha kutuzuga,
Kimoyomoyo umehuzunika sana kwa kaka yako kukikosa kile kiwanja,
Naskia ilikua awajengee wewe na Angel hekalu lenu pale.
Jokes!!!!

hapana mkuu sidhani.lakini papa msoffe ni mpare.rafiki yake ni ndama mtoto ya ng'ombe,papa mkuru na papa mkunzi.wote ni moto wa kuotea mbali.nakumbuka walimliza yule mama aliyekuwa anagombea kawe ccm na akina mdee.walijifanya usalama wa taifa eti wametumwa na rais awape hela ili ashinde.sina uhakika kama huyu binti anahusika.mia
 
Hata akirudisha hebu wamtie adabu wamsweke jela kama liyumba., maana huyu jamaa anaonekana amezoea dhuluma.

mkuu huyu jamaa ni noumer.usimchukulie kilahisi kihivyo.huyu ni tapeli wa kimataifa.
yaani ni next level.usimchukulie kama wale madalali tapeli.papa msoffe ndama mtoto ya ng'ombe ni balaa.usijaribu kuingilia anga zao kama unajivunia sheria za tanzania tu.ukikutana nao jifanye mjinga siku ipite vinginevyo byebye.mia
 
Hivi kanuni za adhabu imo ya mnyanganyi kupewa muda arudishe alichoiba? Ama kweli huyo ni papaa musofe. Sikujua kama ananguvu hivo.
 
Hata akirudisha hebu wamtie adabu wamsweke jela kama liyumba., maana huyu jamaa anaonekana amezoea dhuluma.

hahaaa..!!mkuu si rahisi rahisi kama unavyo fikilia.huyu papa msoffe na ndama mtoto ya ng'ombe ni matapeli wa next level.ukikutana nao anga zao jifanye mjinga siku ipite.na usijaribu kushindana nao kama nguvu zako ni sheria za bongo utakwenda na maji.watu wenye uwezo wamejaribu kuwasumbua lakini wameambulia patupu.
 
Ushauri, mama apewe ulinzi ili kuendelea kuishi maana hawa si watuwema jamani na mtandao wao mkubwa

ni kweli mkuu hawa watu ni noumer.nakumbuka mwaka jana papa ndama mtoto ya ng'ombe alikamatwa na magari kabao ya wizi,akapelekwa pale polisi magomeni na vithibitisho lakini hata selo hakuingizwa.aliishia kutoa maelezeo tu.sijui yale magari waliyapeleka wapi.uzuri wao hawaui mtu.wenyewe wanacheza na akili zako na hela zao.ni balaa!.mia
 
Kama ni hivo naona huyo mjane asha kwama na hii saga haijaisha. Maana papa msofe atakataa kutuka then end of the story.
 
Ninavyoona Msoffe atakwenda mahakamani na mambo yarudie ya DOWANS -alipwe! Fuwedha bwana!

mkuu wewe unaonekana unawajuwa vizuri hawa jamaa.ndivyo inavyokuwa sema amue tu kuacha na yule bibi.mia
 
I don't understand why people like papaa Msofe survive all this long while the business he does could earn him a permant place at Keko or Ukonga. Are we comprised to that extent in handling people with akward ways of making money? Do we promote fame and fortune at the expense of creativity?
Ndahani, they survive because of something known as 'connections'. They are well connected people.
 
Ndahani, they survive because of something known as 'connections'. They are well connected people.

Imeshakuwa nchi ya kihuni watu kwa nini wasidhuliumu watu?Jk anafanya nini? basi tuone kama hatarudisha hicho kiwanja basi tutamuundia wizra yake ya mtapeli. Au? Kama ni connections usalama wa taifa unafanya nini kwa smugglers?
 
mkuu huyu jamaa ni noumer.usimchukulie kilahisi kihivyo.huyu ni tapeli wa kimataifa.
yaani ni next level.usimchukulie kama wale madalali tapeli.papa msoffe ndama mtoto ya ng'ombe ni balaa.usijaribu kuingilia anga zao kama unajivunia sheria za tanzania tu.ukikutana nao jifanye mjinga siku ipite vinginevyo byebye.mia

Haaahaaa! I don't think so! Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu. Awatapeli hao hao wazungu na madini feki. Akiendelea kuwaliza wabongo,ajiandae naye kulizwa, period! What goes around,comes around!
 
Ndahani, they survive because of something known as 'connections'. They are well connected people.

What is the difference then between Tanzania and mafian politics in Italy? Are criminals running the show in Tanzania? If not, why do they survive long, while messing up almost everyday?
 
hatua aaaa aaaaa
lool kwa wanaomjua marijan msofe wanajua
kwamba labda yeye ndo kaamua
kumrudishia huyo mama kiwanja chake
otherwise sirikali haimfanyi chochote
kwanza inaelekea labda na mama nae ni mjanja
wa hapa mjini
ama kuna mtu anamjua huko kwnye sirikali
ya kimjinimjini khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
papaa? full magumashi na sirikali ipo kwa mifuko
na pia i smell something fishy
oooooh time will tell

tu, maana kama ni waziri anatumia aka tufahamisheni[/QUOTE]
 
ninaamini sangoma wa huyu mama ni kiboko

Inaonekana sisi kama watanzania tumewaendekeza hawa jamaa,maana tungekataa utapeli wao hakuna eti kiongozi ama polisi angeendelea kuwalinda ktk dili zao chafu. Hata wao wabadilike,ujanjaujanja wa kimjini hautaendelea kuwalipa. Wataishia fanyiwa mambo ya aibu siku ya mwisho.
 
hahahahahaha mzee msoffe
alishafanya hivyo longtime
hatuna haja na za wizi
na akichomwa moto
mi ntapeleka petrol na nyasi
ili aungue kabisaaaaaaaaa
anatutia aibu

JOKES

Wacha kutuzuga,
Kimoyomoyo umehuzunika sana kwa kaka yako kukikosa kile kiwanja,
Naskia ilikua awajengee wewe na Angel hekalu lenu pale.
Jokes!!!!
 
Hahahahaha wala usijihangaishe kubishana na shark
looool haya majizi ya mjini hayana maana
kwanini sijui haridhiki kama hela sasa
anayo si atulie
amakweli once a thief alwayz a thief.

hapana mkuu sidhani.lakini papa msoffe ni mpare.rafiki yake ni ndama mtoto ya ng'ombe,papa mkuru na papa mkunzi.wote ni moto wa kuotea mbali.nakumbuka walimliza yule mama aliyekuwa anagombea kawe ccm na akina mdee.walijifanya usalama wa taifa eti wametumwa na rais awape hela ili ashinde.sina uhakika kama huyu binti anahusika.mia
 
Papa Msoffe kapewa siku saba awe amerudisha kiwanja alichomdhulumu bibi Devotha Mulai.

kiwanja hicho alikuwa amekipata kwa njia za mjini na kukizungushia ukuta na ndani kujenga nyumba. Msoffe alijitetea kwamba alikuwa hajapata malalamiko kutoka sehemu yoyote kwani hicho kiwanja anakimiliki kihalali.

Siku hizo alizopewa ni amri toka serikalini.

mia

Jamani vijana wa Kitanzania mnashindwa kumng'oa koorodani zake huyu *****?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom