papa msoffe kapewa siku saba.mwisho itakuwa 11/11/2011.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
Papa Msoffe kapewa siku saba awe amerudisha kiwanja alichomdhulumu bibi Devotha Mulai.

kiwanja hicho alikuwa amekipata kwa njia za mjini na kukizungushia ukuta na ndani kujenga nyumba. Msoffe alijitetea kwamba alikuwa hajapata malalamiko kutoka sehemu yoyote kwani hicho kiwanja anakimiliki kihalali.

Siku hizo alizopewa ni amri toka serikalini.

mia
 
Heee at last haki inakaribia kutendeka!
Lakiniiiii!ngoja nisifrahi kwanza manake lool
huyu pedejee sirikali
iko mfuko wa nyuma wa
troza yake!
Mungu amwekee mkono mama huyo
 
Hata akirudisha hebu wamtie adabu wamsweke jela kama liyumba., maana huyu jamaa anaonekana amezoea dhuluma.
 
Akibisha atacheza na Nguvu ya umma, Mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni
 
Papa Msoffe kapewa siku saba awe amerudisha kiwanja alichomdhulumu bibi Devotha Mulai.

kiwanja hicho alikuwa amekipata kwa njia za mjini na kukizungushia ukuta na ndani kujenga nyumba. Msoffe alijitetea kwamba alikuwa hajapata malalamiko kutoka sehemu yoyote kwani hicho kiwanja anakimiliki kihalali.

Siku hizo alizopewa ni amri toka serikalini.

mia
Kiwanja hicho alichompora bibi Devotha kipo wapi hapo jijini Dar Figaniga aka mzee wa mia.
 
Ushauri, mama apewe ulinzi ili kuendelea kuishi maana hawa si watuwema jamani na mtandao wao mkubwa
 
lakini waliompa hicho kiwanja kiujanja si SIRIKALI hiyo hiyo hapa kuna kila harufu ya UWALAKINI
 
Nimesoma maoni yenu nimeogopa. Labda hata serekali inamjua huyu jamaa ni mafia ndio maana wametoa tamko haraka. Sasa mbona hatuambiwi wanamchukulia hatua gani? Au ni mdau katika serekali yetu, maana kama ni waziri anatumia aka tufahamisheni
 
I don't understand why people like papaa Msofe survive all this long while the business he does could earn him a permant place at Keko or Ukonga. Are we comprised to that extent in handling people with akward ways of making money? Do we promote fame and fortune at the expense of creativity?
 
Mijitu mijizi kama hii inatakiwa kunyongwa tu,hain maaana pambaf zake.
 
Heee at last haki inakaribia kutendeka!
Lakiniiiii!ngoja nisifrahi kwanza manake lool
huyu pedejee sirikali
iko mfuko wa nyuma wa
troza yake!
Mungu amwekee mkono mama huyo

Wacha kutuzuga,
Kimoyomoyo umehuzunika sana kwa kaka yako kukikosa kile kiwanja,
Naskia ilikua awajengee wewe na Angel hekalu lenu pale.
Jokes!!!!
 
Wala usifurahie, hujui maigizo ya serikali yako! Serikali ndo inaamuru umiliki wa mali ama $mahakama?
Heee at last haki inakaribia kutendeka!
Lakiniiiii!ngoja nisifrahi kwanza manake lool
huyu pedejee sirikali
iko mfuko wa nyuma wa
troza yake!
Mungu amwekee mkono mama huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom