Huwa wanaanza mpambano wao saa 3.30 hivi usiku hadi saa 6 hivi ndio litaisha,kwa sasa bado mapema mapambano ya utangulizi kwenda mbele
Kama Cheka akimpiga tena, bora arudi zake kwenye Mieleka sasa..
jamani ma promota wa cheka haya si mashindano ya kumpa, mtafutieni mapambano ya kimataifa km ya wbo, wbc, wba lkn kibongo bongo cheka akikaa 1yr atakuwa amelost
na lile pambano kati ya wolper na wema sepetu nani ameshinda
Duh! Jamaa kahofia makonde mazito mazito toka kwa mpinzani wake!
Je? Pambano ilikuwa imfanyike mchana ama usiku????
Ama ni mbinu ya washika dau kuwanyang'ang'anya watazamaji pesa zao?
Hebu tufafanulie mambo yalivyokuwa Blood Hurricane kwa mtazamo wako wa kuona na kuvumbua!
Cheka kachomoa kupigana pambano lilitakiwa lianza saa 5:00 za usiku jamaa kachomoa kakimbia. Kafika ulingoni kauza sura kasepa ndio nini sasa! Aibu mbaya.