"Pafomansi" ya siku ya kwanza . . . . . . !!

hongera sana..Nipe ushauri wa bure ilikuwaje ukapata "second chance?"

Wengi wanachezea kibuti wanapovuruga mechi ya "ufunguzi",ni bora huyu jamaa atuambie siri ya urembo!
 
hongera sana..Nipe ushauri wa bure ilikuwaje ukapata "second chance?"

Alikua muelewa pia wote tulipendana......ukiona mwanamke umechemka mara ya kwanza lalfu akakukimbia muache aende maana huyo atakua Ma*aya.
 
Kuna swahiba wangu aliniambia wakati tupo vijana kwamba siku ukiwa unategemea binti anakuja ghetto ukijifanya kusafisha safisha na kufagia , kutandika shuka kuzipanga nguo kabatini ujue hiyo game hamna binti haji ng'o.

Si unajua unapokuwa kijana siku zote nguo zinakaa kitandani ukitaka kulala unazibeba unazirusha kabatini unabana. Ukifungua zinakuangukia.
 
Back
Top Bottom