"Pafomansi" ya siku ya kwanza . . . . . . !!

the first day inakuwa ina limitations nyingi mtu unakuwa unakuwa hauko free unaweza kujaribu hiki kumbe ndio least thing mwenzako angetegemea kufanya, basi unakuta wote mnaanza kufanya fundamental things

Kumbee,kuna ukweli mkubwaae!
 
The Boss nakubaliana na wewe kabisa mkuu..siku ya kwanza kwa mwanaume ni kuonyesha umiliki..
Unaweza kushindwa kupiga gemu kisawasawa kwa sababu unakuwa unataka binti adate na vingi zaidi ya sex tu..
Bahati mbaya ilitaka kunigharimu sana hii habari..manake nilfanya show off za kufa mtu afu kwenye ngozi nikalemba..lol!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer kusema ukweli mi siku ya mwanzo uwa nakuwaga chini ya kiwango, coz uwa najaribu kumsoma opponent wangu, na uwa natoa tahadhari mapema kuwa inawezekana nikawa chini ya kiwango, maana kuna wasichana ile mechi ya kwanza uwa ina determine mengi, anaweza kukutosa jumla jumla kutokana na kushindwa kuwa mahiri siku iyo kumbe ilikuwa ni tension tu ya siku ya kwanza
 
Last edited by a moderator:
Kwa hio avatar? Haiwezekani bana hali umeonesha uhalisia kabisa... Siamini. Nahisi tu vigezo vako vigumu sana.

Ninapoona comment ya Smile, huwa nachukua sekunde kadhaa kuangalia Avatar yake kabla sijasoma comment!
 
Eiyer kusema ukweli mi siku ya mwanzo uwa nakuwaga chini ya kiwango, coz uwa najaribu kumsoma opponent wangu, na uwa natoa tahadhari mapema kuwa inawezekana nikawa chini ya kiwango, maana kuna wasichana ile mechi ya kwanza uwa ina determine mengi, anaweza kukutosa jumla jumla kutokana na kushindwa kuwa mahiri siku iyo kumbe ilikuwa ni tension tu ya siku ya kwanza

well said mdogo wangu..
 
Ndo maana nasema sio sahihi kumpima mtu siku ya kwanza!
 
Last edited by a moderator:
haaaaaa.......
Mie pafomansi yako yq siku ya kwanza ndo itakayoamua kua niendelee au nikimbie.......kumbe wengine mnakua waogaaaaa
 
naimagine mlishakuwa na dirty talk za kutosha, ooh baby nitakufanyia hivi vile, bla bla kibao then siku imefika performance haina mvuto!!!! Hapo lazima ukimbie.
 
halafu unakuta mtoto wa kike ukame kiroba kizima, umejiandaa wiki nzima....maandalizi ya mwili na akili....unaishia kupewa kimoja kidhaiiiiiiiiifu ....kuna kurudi tena hapo?
Au unakuta jamaa linakuparamia tu kama kichuguu?
Au unakuta jamaa ananuka jasho ooooophs kwapa si kwapa.....
 
halafu unakuta mtoto wa kike ukame kiroba kizima, umejiandaa wiki nzima....maandalizi ya mwili na akili....unaishia kupewa kimoja kidhaiiiiiiiiifu ....kuna kurudi tena hapo?
Au unakuta jamaa linakuparamia tu kama kichuguu?
Au unakuta jamaa ananuka jasho ooooophs kwapa si kwapa.....[/b]

au soksi zinapumua 'a pungent smell...
 
au soksi zinapumua 'a pungent smell...

haaaaaaahaa au unakuta nyumba inanuka uvundo..... Halafu jamaa toka umemuona huko nje hadi kipindi cha kudate yupo very smart, kumbe usafi wa nje hahahaaaa harufu lazima uhairishe zoezi zima.... Unaweza jidai umepata period ghafla loh....
 
the first day inakuwa ina limitations nyingi mtu unakuwa unakuwa hauko free unaweza kujaribu hiki kumbe ndio least thing mwenzako angetegemea kufanya, basi unakuta wote mnaanza kufanya fundamental things

Inakuwa kama mnategeana vile???
Mwisho wa siku poor perfomance!
 
naimagine mlishakuwa na dirty talk za kutosha, ooh baby nitakufanyia hivi vile, bla bla kibao then siku imefika performance haina mvuto!!!! Hapo lazima ukimbie.

Mambo hayo ya hadith mie sitaki tutakuja aibishana bureee
 
duh, kiwanja cha mchangani, au uwanja wa tifa?

Nataka gemu ya majaribio aisee
maana kuna kombe la mbuzi nashiriki mwakani.

Mech za majaribio zipo mkuu game mara 1 unaingia mitini au ubize unazidi kama unaona mgod haufai kumiliki
 
Hapa tunadiskasheni gani!? Mi leo nina inaugural ceremony nani anataka kuhudhuria?
 
Back
Top Bottom