"Pafomansi" ya siku ya kwanza . . . . . . !!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Wakati nachangia thread ya gfsonwin ,ya kuhusu wanawake wa Kiafrika kua na aibu kunako 6*6,kuna jambo nililigundua.Kuna suala la siku ya kwanza ya kukutana kimwili na mpenzi mpya.Mara nyingi siku hii huwa sio nzuri kwa sababu ya "tension" na "ugeni" kila mmoja kwa mwenzake.Ni vyema wapenzi wapya wasiamue uhodari,uzembe na hata usafi wa wapenzi wao wapya kwa mujibu wa siku hii.Kuna watu huamua kusafisha miili yao au mahali wanapoishi kwa kuwa wanakutana na wapenzi wapya kumbe wakizoeana hurudia hali zao za zamani.Suala la uhodari na aibu during sex nalo huathiriwa na siku ya kwanza.Mtu anaweza kuwa na aibu kwa kuwa hajakuzoea au akawa hodari kwa kuwa wewe ni mpya.So ni vyema ukampima mtu angalau kwa gem kuanzia 4 na kuendelea . . . . .!!
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Smile bado hujaji commit? sababu hupendi au sababu bado wanaume kamili hujaona? Kila la kheri na u single wako.. Hongera sana.

Is gud to see u here.Gud mrng sister!!
 
Wakati nachangia thread ya gfsonwin ,ya kuhusu wanawake wa Kiafrika kua na aibu kunako 6*6,kuna jambo nililigundua.Kuna suala la siku ya kwanza ya kukutana kimwili na mpenzi mpya.Mara nyingi siku hii huwa sio nzuri kwa sababu ya "tension" na "ugeni" kila mmoja kwa mwenzake.Ni vyema wapenzi wapya wasiamue uhodari,uzembe na hata usafi wa wapenzi wao wapya kwa mujibu wa siku hii.Kuna watu huamua kusafisha miili yao au mahali wanapoishi kwa kuwa wanakutana na wapenzi wapya kumbe wakizoeana hurudia hali zao za zamani.Suala la uhodari na aibu during sex nalo huathiriwa na siku ya kwanza.Mtu anaweza kuwa na aibu kwa kuwa hajakuzoea au akawa hodari kwa kuwa wewe ni mpya.So ni vyema ukampima mtu angalau kwa gem kuanzia 4 na kuendelea . . . . .!!

Inakuwaje kwamba mara nyingi waathirika wakubwa wa hii tension ya siku ya kwanza wanakuwa wanawake. Inawezekana ni kutoajiamini? na kwanini wao ndio wanakuwa katika kiwango cha juu cha kukosa confidence?
 
hata wanamme huwa wanayo
sema tu ile kujifanya 'am a man' ndio huwabeba.

Afu kwa asili wanawake huanza kuwa na aibu wanapobalehe.

Inakuwaje kwamba mara nyingi waathirika wakubwa wa hii tension ya siku ya kwanza wanakuwa wanawake. Inawezekana ni kutoajiamini? na kwanini wao ndio wanakuwa katika kiwango cha juu cha kukosa confidence?
 
Inakuwaje kwamba mara nyingi waathirika wakubwa wa hii tension ya siku ya kwanza wanakuwa wanawake. Inawezekana ni kutoajiamini? na kwanini wao ndio wanakuwa katika kiwango cha juu cha kukosa confidence?

Kiasili mwanamke ameumbwa na aibu!
 
Mie nilikuwa nalaza kiporo cha ubwabwa na maharage mezani na shuka hazifuliwi wiki nzima ili kumpima msichana wa siku kwanza... akimudu kuvumilia uchafu wangu, najua huyo tutawezana, na hapo baadae narudia hali yangu ya unadhifu kama kawaida, wengi walikuwa ananishangaa......
 
Back
Top Bottom