"Pafomansi" ya siku ya kwanza . . . . . . !!

Inategemea na demu mwenyewe umempataje,.haiwezekani umtongoze demu mwaka mzima halafu siku anakupa gemu urembe kisa siku ya kwanza,..
 
Eiyer siku ya kwanza huwa inakua na mambo mengi sana in real na hii iko hivyo tu tena kwa kila jambo siyo mapenzi tu. jiulize siku ya kwanza kwenda kwa bosi wako ulivyoappear na ulivyokuwa unaongea ni tofauti na baada ya kuzoea ofisi nafikir.

sasa ni bora zaid kwanza kutopania vitu vya siku ya kwanza yaani uwe at ease basi ili kuwepa kuperform ama chini ama juu ya kiwango.
 
Last edited by a moderator:
Eiyer siku ya kwanza huwa inakua na mambo mengi sana in real na hii iko hivyo tu tena kwa kila jambo siyo mapenzi tu. jiulize siku ya kwanza kwenda kwa bosi wako ulivyoappear na ulivyokuwa unaongea ni tofauti a baada ya kuzoea ofisi nafikir.

sasa ni bora zaid kwanza kutopania vitu vya siku ya kwanza yaani uwe at ease basi ili kuwepa kuperform ama chini ama juu ya kiwango.

Spot on sweetlo gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
na sisi tulio mabikra tena..taabu kweli kweli!

Yaani nyie hadi akaupate ni baada ya mwaka mzima, halafu siku ya kwanza huvui, ni lazima kupitisha pembeni mwa c.....p..!!! Na ukiongeza matumizi ya kinga, inakuwa tabu tupu. Ila kwa kuwa umenizungusha mwaka mzima, inabidi tu.
 
Kwa siye wanywaji..
Wala hatupati tabu..namwita mrembo wangu tunahesabu vyupa kwanza then kunako 6*6 mziki mnene.
 
Yaani nyie hadi akaupate ni baada ya mwaka mzima, halafu siku ya kwanza huvui, ni lazima kupitisha pembeni mwa c.....p..!!! Na ukiongeza matumizi ya kinga, inakuwa tabu tupu. Ila kwa kuwa umenizungusha mwaka mzima, inabidi tu.

I hate mapurukushani . . . . . . .!!!!
 
I hate mapurukushani . . . . . . .!!!!

Expect that when you break the law using chips and coke by approaching under 18 !!! Otherwise, Worry not, go for cheap, experienced and commercial at Buguruni during the night.
 
Expect that when break you the law using chips and coke by approaching under 18 !!! Otherwise, Worry not, go for cheap, experienced and commercial at Buguruni during the night.

I hate teen . . . . . . !!!!
 
hahaah, siku ya kwanza na msichana mpya- mambo yote yaliishia mapajani, hadi leo huyo dada sijampata na tukionana naye huwa namtania nipe tena sitaharibu..naambiwa kajifunze tena
 
sweetbaby ,mapurukushani nisiyoyataka ni yale ya kulazimishana kuvua nguo,ukisoma nilie m-quote utagungundua nilichomaanisha!
 
Last edited by a moderator:
Wakati nachangia thread ya gfsonwin ,ya kuhusu wanawake wa Kiafrika kua na aibu kunako 6*6,kuna jambo nililigundua.Kuna suala la siku ya kwanza ya kukutana kimwili na mpenzi mpya.Mara nyingi siku hii huwa sio nzuri kwa sababu ya "tension" na "ugeni" kila mmoja kwa mwenzake.Ni vyema wapenzi wapya wasiamue uhodari,uzembe na hata usafi wa wapenzi wao wapya kwa mujibu wa siku hii.Kuna watu huamua kusafisha miili yao au mahali wanapoishi kwa kuwa wanakutana na wapenzi wapya kumbe wakizoeana hurudia hali zao za zamani.Suala la uhodari na aibu during sex nalo huathiriwa na siku ya kwanza.Mtu anaweza kuwa na aibu kwa kuwa hajakuzoea au akawa hodari kwa kuwa wewe ni mpya.So ni vyema ukampima mtu angalau kwa gem kuanzia 4 na kuendelea . . . . .!!

Well said mkuu... especial kwa mtu uliyempenda kiukweli inakuaga taabu kweli... mimi nakumbuka wakati naanza kumtokea wife niliku najishtukia kinoma......unaweza badilisha nguo mara kumi.... kila ukivaa unajiona kama ndo umetoka kijijini siku hiyo.... nakumbuka siku ya kwanza kupewa gemu nilipiga kimoja tena hakikuchelewa alafu mtarimbo haukusimama tena....nilitumia mbinu zote lakini hola...ila nashukuru Mungu alijua nilikua na hofu. Maana nakumbuka aliniuliza mbona moyo wako unadunda kwa nguvu.... alafu una joto. Unaumwa? Yaani sitaisahau iyo siku.
 
hahaah, siku ya kwanza na msichana mpya- mambo yote yaliishia mapajani, hadi leo huyo dada sijampata na tukionana naye huwa namtania nipe tena sitaharibu..naambiwa kajifunze tena

Hahahahha mkuu mimi kuingiza tu tayari nishamaliza... ila nashukuru alinipa second chance na sasa ndio wife...du ni mbaya sana.
 
Duh!leo nimechekaje!nyingi za post nimeziona kama mshale wa moja kwa moja kwangu...ha ha ha
 
Hahahahha mkuu mimi kuingiza tu tayari nishamaliza... ila nashukuru alinipa second chance na sasa ndio wife...du ni mbaya sana.

hongera sana..Nipe ushauri wa bure ilikuwaje ukapata "second chance?"
 
Back
Top Bottom