Operation Chaos: Lowassa, Chenge, Rostam et al; Don't Quit CCM!

So far there is no evidence whatsoever put forth by the ruling party that you are the most corrupt members of the part. No one has accused you publicly or has even claimed that there is enough evidence to warrant your removal from the party. At least the Mwakyembe's report had some resemblance of credible allegations especially againt EL and RA but not this so called "skin shedding".

For this reason, I believe you will do your part and your supporters a huge favor and justice by not resigning from any party position and as a matter of fact any measure that will be taken against you should be met with a forceful and precise response.

They have failed to even name you in their public report of the party, they failed to level any credible allegation beside saying "these people have been named by a number of citizen and media that they are involved in corruption".

If you agree to resign you will infact prove without any doubt that you are the most corrupt CCM members ever! By resigning or quitting the party the allegations that have been on your tails for sometimes now will need no further proof. You will go down in history as the most corrupt public officials ever to have hold power.

Are you? Well CCM believes that you are to warrant the resignation of both the Central Committee and the Secretariat. If you resign or quit within the 90 days the answer will be in the affirmative.

I know for sure one thing after 90 days CCM will not do anything against you and still remain credible. They can't fire you, they can't just take your party membership without due quasi judicial course within the part as outlined in the CCM's own constitution or the Principles of Ethics guideline.

So.. stay put, enjoy your position, work like ever before and don't mind the new CCM leadership. They can't do a damn thing.


Mwanakijiji unaona mbali japo kwa haraka haraka mtu hawezi kukuelewa ila mimi nachangia hii thread yako japo mawazo yangu yanaweza kuwa tofauti na wewe au wasomaji wengine, ila kwa msaada zaidi nimeamua kuchangia kiswahili ili kila mtu aelewe.

HAKUNA ATAKAYEWEZA KUWAFUKUZA UANACHAMA HAO JAMAA NDANI YA SIKU 90,

Sababu:

1. hakuna kikao kilichokaa na kupitisha azimio la kuwanyanganya hao 3angle uanachama.
2. Mwanachama anafukuzwa na kura za wanachama na hakuna kura zilizopigwa kuwakataa wao.
3. Hakuna kidhibiti ambacho ccm inaweza kukitumia kuwashinikiza kuwajibika na tuhuma zao na ikitokea wakitoa kidhibiti basi hata mkuu wa kaya atawajibika.
4. Mkuu wa kaya alishawasafisha kwenye kampeni hawezi kuwachafua leo kwani ataogopa maswali.
5. mkuu wa kaya anapambana na cdm kwa sasa hivyo hawezi kupambambana na 3 angle maana wanaitaji mbinu, ujasiri na njia mmb'adala kuwangoa na mkuu wa kaya hana ujanja kama wa RA, EL.
6. Wanajua kuwa wanakubalika na baadhi ya wajumbe tena walio wengi ndio maana wanatumia majukwaa kuwashawishi wajumbe wa mikoani wawakatae endapo watakataa kujiwajibisha.
7. Wajumbe wa NEC na CC Wananunulika na kazi ya kununua watu by proffesional ni ya RA na EL na fedha wanayo ivo ni kazi kubwa kweli kweli mkuu wa kaya anayo.
8. Minute za kikao cha cc na nec hazina agenda inayosema RA, EL, AC wanatakiwa kuwajibika bali ilikuwa ni onyo kwa wanachama wote wa ccm ambao watabainika kuwa na kashfa za kifisadi na wala minute hazikuandikwa hao 3 angle wajiwajibishe

NAWAKILISHA
 
They have to Go... Mwanakijiji catch phrase ya Jasusi ina elezea yote: Mwalimu's era may be over. But leadership qualities and ETHICS my emphasis! continue.
 
Mkuu;

Uchonganishi huo . . . LOL

What is going behind the Curtains now is believed kuwa Mkuu wa Kaya anawabembeleza jamaa yaishe.

Inasemekana jamaa "Pembe tatu pacha" aka RACHEL wana kete muhimu sana za kummaliza Mkulu.

Kama ni kweli, it remains to be seen. Time will tell. Time. timex.

Respect.

Hii ni movie ya kichina fiction action zimejaa kibao sie watazamaji tunashangilia jinsi tunavyodanganywa mwisho tunasubiri kuona staring anamaliza vipi movie yake ili tupate cha kusimulia.

Hapo kwenye red ya pembe tatu pacha nimepapenda I can call it a critical thinking.
 
Inabidi tuwatie moyo hawa jamaa wabakie humo humo CCM.. it is good for the party and for their interests.
Hapa unawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa. kila mtu anajua kuwa wao ni mafisadi. Mambo mengine huhitaji hta kutumia X-Ray wala T-Scan kubaini. Ukuegemea vipimo hivyo hutaona ufisadi kwani haupimwi kama magonjwa na ndiyo maana TAKUKURU kila wanapotaka kuhakiki wanachemka maana wanataka kutumia vipimo vyao ambavyo siyo realistic wala valid.
 
Pasco,
Utakuwa ulidandia mazungumzo ya simu kati ya El na Mkulu hivi karibuni. Haiwezekani ukawa sahihi kiasi hiki!
Omutwale, mambo nyeti hayazungunzwi kwenye simu, hii ni opinion yangu tyuu, haiwesekani EL auteme u-PM halafu ajikalie kimya tuu. Hata sinema ya kujivua gamba, ni kulambisha pipi mazuzu tuu, werevu wamesha ng'amua.
 
Kinachonipa shida kidogo ni kwamba these guys already ni officially fraud ama ni hisia tu...
Nani kawacertify...
Kwanini sasa na sio wakati ule.....
Ukimya wao unaonesha jinsi walivyo "waoga" na wanajutia "madhambi" yao?
 
Mwanakijiji, can it be so simple like that? I see this issue as a very complicated that CCM and its government need to work carefully otherwise...
 
i am dying to see the answer of this equation, would it derive a new equation?TIME WILL TELL, Thanx for your setiments MM
 
Nakubali hawa jamaa ni mafisadi lakini si haki wawaoneane ndio mafisadi peke yao. Jamani huu wizi umeisaidia CCM YOTE. Ni kuwaonea waendelee kuwa nao ili jahazi lizame lote. Habari zisizo rasmi wamasai wanataka kuandamana kumuunga mkono EL. Hii ni kwa sababu hela yake inaleta maendeleo Monduli. CCM haiwezi chora mstari wa nani ni fisadi na nani siye. Hata wakiwafukuza hawatakuwa salama. Mwandishi mmoja aliwahi kusema kwa kuwa CCM ni chama tawala kimeambikiza taifa lote rushwa. Iwe serikalini, vyama vya upinzani kote ni rushwa tupu. Hawa CCM WAVUMILIE MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI. WAKUBALI KIFO CHA WENGI NI HARUSI.
 
Swali ambalo watu walitakiwa kujiuliza ni kitu gani ambacho CCM wamekijua leo kuhusu RA, EL na Chenge ambacho kilikuwa hakijulikana Septamba 2010? Na kuliweza sawa swali lenyewe ni kuwa Kikwete amejua nini hivi juzi kuhusu hawa jamaa ambacho alikuwa hakijui kabla ya uchaguzi?
 
Swali ambalo watu walitakiwa kujiuliza ni kitu gani ambacho CCM wamekijua leo kuhusu RA, EL na Chenge ambacho kilikuwa hakijulikana Septamba 2010? Na kuliweza sawa swali lenyewe ni kuwa Kikwete amejua nini hivi juzi kuhusu hawa jamaa ambacho alikuwa hakijui kabla ya uchaguzi?

Mwanakijiji, ccm siyo jiwe ni chama kinachoishi; chenye uhai na kinachopaswa kuenda na wakati na hata kurekebisha makosa yaliyofanywa nyuma kwa faida ya baadaye ya chama chenyewe na wananchi kwa ujumla. Wengi wetu tumekuwa tukitoa kilio chetu cha kuitaka ccm iondoke kwenye mfumo wa kimahakama wa kutaka kutoa evidence ndipo maamuzi yanayoitwa ya haki, yatolewe. Chama kama chama lazima kijitahidi kadri iwezekanavyo kuwa safi mbele ya jamii na chama ili kiwe safi lazima wanachama wake hususan viongozi wawe wasafi kama mke wa mfalme. Wasishukiwe wala kuhusishwa na mambo machafu kwa kiwango kikubwa cha kupunguza imani ya wanachama na wananchi kwa ujumla.

Inachofanya ccm sasa ni kurejea katika misingi hiyo. Akina EL, RA na AC wamesemwa na kuhusishwa katika kashfa nyingi kupita kiasi. Lazima ccm iwaweke pembeni. Wanaweza kuendelea kuwa wanachama lakini siyo kuwa viongozi. Suala la kikwete kuwapigia debe haliwezi kuwa kikwazo cha chama kuwaondoa kwenye uongozi. Watanzania lazima tujifunze na tuanze kuzoea kuchukua maamuzi mazito.

Nyerere alisema ''anaweza kuwa rafiki yetu. Tukanywa nae pamoja mvinyo. Lakini linapokuja suala la uongozi wa nchi, tunamwambia hapana''. Ndivyo inavyotakiwa kufanya kwa hao 3 brothers. Chama chenye ethics za aina hii, ndiyo kinachoweza ku-survive katika Dunia ya sasa iliyozungukwa na vyombo vya habari vingi vya kieletroniki, kama JF.
 
Hawa watu wanatabirika kweli. Sasa hata miezi mitatu wameshasahau kama walikuwa wanajivua gamba au vipi!
 
Swali ambalo watu walitakiwa kujiuliza ni kitu gani ambacho CCM wamekijua leo kuhusu RA, EL na Chenge ambacho kilikuwa hakijulikana Septamba 2010? Na kuliweza sawa swali lenyewe ni kuwa Kikwete amejua nini hivi juzi kuhusu hawa jamaa ambacho alikuwa hakijui kabla ya uchaguzi?

Heshima kwako Mkuu?
Kilichomstua JK ni kuona hao marafiki zake wamejipanga kumng'oa uenyekiti taifa come 2012. Hivyo anajaribu kujenga mtandao hao watatu wakiwa nje ya ulingo. Tatizo ni kwmba hakufanya utafiti, na kama kawaida , aliwatuma watafiti na kuwaahidi vyeo. Matokeo yake wamemwingiza mkenge wa nguvu! Poor JK the shoes are too big for him now.....
 
Hawa watu wanatabirika kweli. Sasa hata miezi mitatu wameshasahau kama walikuwa wanajivua gamba au vipi!


CCM wamekuwa 'too environmentally friendly' - reclying ya strategy that's what I am talking about . No new thinking whatsoever, in fact you can easily predict what thier next move is going to be! they are that bankrupt.
 
Swali ambalo watu walitakiwa kujiuliza ni kitu gani ambacho CCM wamekijua leo kuhusu RA, EL na Chenge ambacho kilikuwa hakijulikana Septamba 2010? Na kuliweza sawa swali lenyewe ni kuwa Kikwete amejua nini hivi juzi kuhusu hawa jamaa ambacho alikuwa hakijui kabla ya uchaguzi?
Mzee Mwanakijiji, hakuna ambacho CCM walikuwa hawakijui kuhusu mafisadi wake. Kama CCM imewapigia kampeni hadi waliosimamishwa kizimbani (Mramba), itakuwa hawa wenye tuhuma tuu!. CCM imeamshwa usingizini na matokeo mabaya uchaguzi uliopita wakaanza kutafutana uchawi na ndipo wakawanyooshea vidole hao mapacha watatu.
 
Hao mapacha watatu wabaki hukohuko CCM ili mnyukano ndani ya CCM uendelee.
Ha ha haaaaaaa.....

It's for the better of our countries (Tanganyika and Zanzibar)...
 
Acheni spinning, hao jamaa hata uwaoshe na sabuni gani hawasafishiki!

hakuna mtu alie oshwa soma vizuri na uelewe,
my take na mi nashauri wasitoke ili kuwake motO fukuto la ndani kwa ndani,wanao taka watoke Vs ambao hawataki watoke,Gamba group the Mkama,Nape,Makamba Jr Vs the RACHEL group Patamu hapo i cant wait hizo siku 90,tutasikia mengi
 
Mmh! this film is very Interesting, let me pause because i'm trying to think about my boss's speech on may day and what will happen there after then a will resume this political movie!!
 
View attachment 32270

Shame on u Chenge, Mramba na wengine wooote waliotuingiza kwenye aibu hii....!!
Kumbuka hapa siongelei wizi au nini..!! Naongelea kuaibishwa na TAKUKURU na wajinga wengine hapo juuu....

Ulaya tunapimwa hivyo
 
Back
Top Bottom