Operation Chaos: Lowassa, Chenge, Rostam et al; Don't Quit CCM!

Haya maovu yanayokivuga CCM yalitakiwa kuchukuliwa hatua mwaka 2007 wakati ule Dr. Slaa ametangaza list ya mafisadi. Lakini uongozi wa juu CCM ulighairi kuwa habari hizi si za kweli. Chama kikapewa nafasi ya kujitakasa kwa wananchi katika mkutano wao uliofanyika musoma, halikutokea lolote, kamati ya mwinyi ikapewa kazi na matokeo yake yakawa yale yale. Kikwete akaambiwa chukua maamuzi magumu akasema wengine ni wajanja na kuwa hawakamatiki... Sasa leo yamethibitika, majina yale yale yamewajibishwa. Nini kitatokea CCM? Acha kisambaratike maana viongozi wake wameingia madarakani kwa pesa za mafisadi na sasa yatawatokea puani. Hapa lazima chama kigawanyike, ni utabiri tu nafanya maana hapendwi mtu... inapendwa pochi...Dawa ipo na ni kwenda kwa babu wakapate kikombe!
 
So far there is no evidence whatsoever put forth by the ruling party that you are the most corrupt members of the part. No one has accused you publicly or has even claimed that there is enough evidence to warrant your removal from the party. At least the Mwakyembe's report had some resemblance of credible allegations especially againt EL and RA but not this so called "skin shedding".

For this reason, I believe you will do your part and your supporters a huge favor and justice by not resigning from any party position and as a matter of fact any measure that will be taken against you should be met with a forceful and precise response.

They have failed to even name you in their public report of the party, they failed to level any credible allegation beside saying "these people have been named by a number of citizen and media that they are involved in corruption".

If you agree to resign you will infact prove without any doubt that you are the most corrupt CCM members ever! By resigning or quitting the party the allegations that have been on your tails for sometimes now will need no further proof. You will go down in history as the most corrupt public officials ever to have hold power.

Are you? Well CCM believes that you are to warrant the resignation of both the Central Committee and the Secretariat. If you resign or quit within the 90 days the answer will be in the affirmative.

I know for sure one thing after 90 days CCM will not do anything against you and still remain credible. They can't fire you, they can't just take your party membership without due quasi judicial course within the part as outlined in the CCM's own constitution or the Principles of Ethics guideline.

So.. stay put, enjoy your position, work like ever before and don't mind the new CCM leadership. They can't do a damn thing.

who told you EL and RA are the ones to be fired?
 
I fully support your views, afterall even the resolutions of the National Executive Committee of CCM which ended on 10th Aprili 2011 did not issue any ultimatum regarding the 90 days nor did any member of CCM be mentioned. CCM's website can be cross checked for that matter. Asa long as Benjamin Mkapa na Kikwete who violated the Constitution in involving themselves in such scams are still at the helm of CCM its better for these 3 FISADIS to become defiant so that CCM remains in the eyes of Tanzanians a FISADIS party forever.

What is the basis of expelling these three mere money messengers RA, EL and Ch from CCM and leave behind the 2005 incumbent President Hon Benjamin Mkapa, who was the custodian of the Tanzania Constitution and all our money at the BOT; but violated it by allowing Mr Daudi Balali the Governor to dish out the 133 BN for purposes of install to power CCM's aspiring President Hon Kikwete and a number of CCM MPs?

How can such cosmetic measures really help our country while such na amount could construct 5263 Secondary scholls at a cost 7.6 M each or 4000 clinics at a cost of 10 M each? How many lives of poor and innocent have perished for lack of essential services across the country while FISADIS in CCM are languishing in wealth?

As long as Benjamin Mkapa nad Kikwete are still at the helm of CCM it will permanently remain to be FISADIS party.
 
Haya maovu yanayokivuga CCM yalitakiwa kuchukuliwa hatua mwaka 2007 wakati ule Dr. Slaa ametangaza list ya mafisadi. Lakini uongozi wa juu CCM ulighairi kuwa habari hizi si za kweli. Chama kikapewa nafasi ya kujitakasa kwa wananchi katika mkutano wao uliofanyika musoma, halikutokea lolote, kamati ya mwinyi ikapewa kazi na matokeo yake yakawa yale yale. Kikwete akaambiwa chukua maamuzi magumu akasema wengine ni wajanja na kuwa hawakamatiki... Sasa leo yamethibitika, majina yale yale yamewajibishwa. Nini kitatokea CCM? Acha kisambaratike maana viongozi wake wameingia madarakani kwa pesa za mafisadi na sasa yatawatokea puani. Hapa lazima chama kigawanyike, ni utabiri tu nafanya maana hapendwi mtu... inapendwa pochi...Dawa ipo na ni kwenda kwa babu wakapate kikombe!

Nakuunga mkono, ndio maana Nape anakuwa na msimamo mkali dhidi ya mafisadi hata kama hatua anazochukua hazijaamuliwa na vikao vyovyote vya CCM ili ajijenge kisiasa, wakimzengua tuu anatoka na kundi kubwa la wanachama. Kazi wanayo mwaka huu. Dawa pekee wakiri kuwa CCM likwapua fedha za EPA toka BOT na kuzitumia wakati wa uchaguzi mkuu wa 2005 na hivyo Mkapa na Kiwete waongoze kujivua gamba
 
Whats wrong if they prove that they are most corrupt people. Sometimes its the best to resign even though u r innocent, kupisha they are so called clean people to work properly for the sake of the public na chama ili watu wasipate sababu ya kupiga kelele. Mimi nawashauri wajitoe tu hata kama they are inocent kiasi gani Mungu aonaye sirini atawajazi.

Hatoki mtu hapa, chama chenyewe ni cha majoka, sasa kuvua gamba ndio hoja, Majoka ni mengi sana, suala ni kuvua magamba na kubaki majoka fresh, makali kwelikweli. Sasa hao mapacha 3 ndio majoka peke yao. Hatoki mtu. fungeni milango zipigwe.:whoo:
 
It appears to me that your stand that the accused sholdnot give in is not based on your conviction of their innocense but rather on your belief that their accusers are equally guilt. If my assumption is true, then you have missed the point. E.L's and company, deserves to be thrown out in the cold, not so much due to their involvement in corrupt practices, which is and still will remain the order of the day so long as CCM is in power, but because of their reckless behaviour, they have allowed themselves to be cought up with their pants down, something that has exposed to the public, the long held secret of the ruling party's involvement in corrupt practices.
 
Kuna wakati Kizza Byesige alimwambia Rais Museveni "Aondoke" madarakani. Rais Museveni akamjubu "kwani Byesige ndie aliniweka madarakani?". Nani aliwachagua Lowasa, Chenge na Rose-tamu kingia NEC? Ni JK, Nape, Mukama? Waambie "stupid!"
 
Ni kweli kabisa MKJJ ameongea jambo la maana sn, Zakaya alichofanya nikusikia sauti yake mwenyewe akiwa mlimani nakufikiri ss watu wananifuata, kuwatosa hawa wazee na heshima zao, nikuhujumu chama, mwisho tutamtoa yy kwani dialogy ndiyo njia sahihi sikyokuwatoa kwakuwakashifu kuwa ndiyo wenye dhambi sn ya rushwa kuliko wote, chamsingi akuli kutubu ili yaishe, lkn bila hivyo wote waliorudisha pesa za EPA lzm wawataje. naamini baadhi yao ni wakuu wa mikoa au wilaya wa mabalozi wa nchi mbalimbali, kwa staili hii, hata yeye atajulikana kuwa ndiye mkuu wa belzebuli hili la rushwa katika ja mii yetu.
Hawa jamaa hawana sababu na ushaidi wa wao kujitoa kwanini wote waliochukua EPA na pesa nyingine wasijitoe? kwani mkuu wa Kaya hawajui, au hakuwaona? na je yy mwenyewe hahusiki?
panya wakiwa wengi kwenye shimo, hung'atana hata kuuana, lkn wakishang'atana nakuuana, baadhi yao huondi=oka nakuanza maisha mapya mahala pengine , km mkuu mmoja wa sheria aliye hamia moja ya shimo lingine.
 
My friend scud iliyopigwa kwenye camp ya hao mafisadi imeleta confusion ambayo hata wao they dont know what is happening. Mkiwa confused na mko very uncertain can you be in a position of predicting the future? Kama Japan na high tech waliyonayo Tsunami tu ilivuruga mpaka wakabakia midomo wazi unajua wewe how natural catastrophe zina function?

My friend the waves which are set are those called solitons wale wanaojua chemistry na physics ya waves will grasp what I mean; waves zingine zote zikukutana zina disparse ama ziki safiri kwa distance fulani bila support ya media ambayo iko stable basi nguvu zake zina mezwa na space lakini hizi ziko stable kiasi kwamba zikikutana badala ya ku disparse/disband zenyewe zinapishana kila moja inaendelea na motion yake ama zinajiunga pamoja kuendelea kuleta destruction. Thats how Tsunami waves work ziko so stable and consistent kiasi kwamba zinanguvu ya kufanya majumba yatembee kabla hayajavunjika vunjika na kumezwa na hizo waves.
 
Chama Cha Magamba,either way they are doomed. It's just a matter of time. They should learn from Japanese philosophy "fish start rot start from the head not otherwise". JK has to take full responsibility for the state of affairs. Well articulated article Mwanakijiji
 
The beauty ya CCM wameangalia mafisadi kwa idadi ya pesa walizonazo, while kuna vifisadi vidogo vingi sana na vingekua matajiri kama sio ufujaji na uvivu wa kuinvest

To be honest, i dont see anything new and developmental from CCM magamba nor CCM Nyoka!!!
 
So far there is no evidence whatsoever put forth by the ruling party that you are the most corrupt members of the part. No one has accused you publicly or has even claimed that there is enough evidence to warrant your removal from the party. At least the Mwakyembe's report had some resemblance of credible allegations especially againt EL and RA but not this so called "skin shedding".

For this reason, I believe you will do your part and your supporters a huge favor and justice by not resigning from any party position and as a matter of fact any measure that will be taken against you should be met with a forceful and precise response.

They have failed to even name you in their public report of the party, they failed to level any credible allegation beside saying "these people have been named by a number of citizen and media that they are involved in corruption".

If you agree to resign you will infact prove without any doubt that you are the most corrupt CCM members ever! By resigning or quitting the party the allegations that have been on your tails for sometimes now will need no further proof. You will go down in history as the most corrupt public officials ever to have hold power.

Are you? Well CCM believes that you are to warrant the resignation of both the Central Committee and the Secretariat. If you resign or quit within the 90 days the answer will be in the affirmative.

I know for sure one thing after 90 days CCM will not do anything against you and still remain credible. They can't fire you, they can't just take your party membership without due quasi judicial course within the part as outlined in the CCM's own constitution or the Principles of Ethics guideline.

So.. stay put, enjoy your position, work like ever before and don't mind the new CCM leadership. They can't do a damn thing.

Mkuu MKJJ,

Huu ni ushauri wa kifasihi...
Nadhani utawafaa...
 
Mkuu;

Uchonganishi huo . . . LOL

What is going behind the Curtains now is believed kuwa Mkuu wa Kaya anawabembeleza jamaa yaishe.

Inasemekana jamaa "Pembe tatu pacha" aka RACHEL wana kete muhimu sana za kummaliza Mkulu.

Kama ni kweli, it remains to be seen. Time will tell. Time. timex.

Respect.

Unachokisema japokuwa sijui kama ni kweli au si kweli, kinafanana sana na ukweli. Kwa kuwa so far, kuna mengi yanaonesha wazi kuwa hao jamaa wana mengi mabaya yaliyowazi lakini hawaguswi. Wao ndio walioshikilia chama na chama ndio chao, that is why wanaogopwa. wengine ni pawns tu.
 
Chama Cha Magamba,either way they are doomed. It's just a matter of time. They should learn from Japanese philosophy "fish start rot start from the head not otherwise". JK has to take full responsibility for the state of affairs. Well articulated article Mwanakijiji

That's what should be. Nothing less than that wil make ccm cleaner!
 
Mzee Mwanakijiji, niliwahi kusema mahali kwenye post fulani kuwa JK ni kiongozi dhaifu, he is weak at character and coward in making serious decisions. Niliposema haya, kuna members humu walinishukia kuwa natumia lugha isiyo ya kistaarabu ku address rais. Mimi nilisisitiza weakness is a state and a fact, ukishutumiwa kuwa dhaifu, unaweza kuprove wrong kwa kuonyesha makali in acting the otherwise kwa kufanya maamuzi magumu na kuwa mkali. Mimi nilimuelezea JK ni dhaifu na nikasisitiza udhaifu wake ni mpaka 'upstairs'!.

Kitendo cha CCM kujivua gamba, its just a game, Mukama, Chiligati na Nape, wanapiga tarumbeta. Jana nimemsikia Mukama akisema eti watawapa barua wajitoe wenyewe, wasipo jitoa, basi CCM itawafukuza!. Yoye haya yanatokea kwasababu top leader wao ni weak, simply dhaifu!.

Kwa vile hao ni watu wake, ametoka nao mbali, wamensaidia kufika hapo alipofika, anakunywa nao chai na wote ni wapenzi na washirika kwenye kale kamchezo ! (totos), kama angekuwa imara with strength of character, alitakiwa waite siku nyingi, awaambie, Rafiki zangu, mmenyooshewa vidole, japo hakuna uthibitisho wowote kuhusu tuhuma zenu, kitendo tuu cha kunyooshewa vidole, kinatosha. Nawaombeni tubaki marafiki, lakini kwenye uongozi wa chama, nawaombeni sana mnipishe, ili boti yetu isizame.

Kitendo cha kushindwa kufanya hivyo on time, kumeicost CCM kwenye uchaguzi uliopita, kwa kuogopa boti yao isizame kabisa 2015, sasa ndio wameibuka na hii falsafa ya kuvua gamba. Kama Mwenyekiti, alitakiwa kule kule ndani ya CC, awaulize Chenge na Rostam wawajibike kwa kunyooshewa tuu kidole, hivyo kukichavua chama, ameshindwa humo ndani ya vikao halali, anamsukumia Mukama, Chiligati na Nape ili kuonyesha yeye bado ni rafiki, ila mambo ya chama ni ya chama. Hayo alitakiwa afanya yeye kuwaambia marafiki zake.

Kwa vile NEC haikuweka bayani wanataka nini haswa kifanywe na viongozi wake wanaotuhumiwa kwa ufisadi, wajiondoe kwenye uongozi, au wajiondoe ndani ya chama. Kjiondoa ndani ya uongozi wa chama, hili linawezekana kwa sababu wote waretain viti vyao vya ubunge na EL atawaendesha sana kupitia kofia yake ya M/K ya Mambo ya nje Ulinzi na Usalama, Mzee wa Vijisenti atamuendesha puta AG kilaza aione kazi yake ngumu, na RA ataendeleza ule ule utaratibu wake wa kupenyeza rupia kwa kuwatumia wabunge wanaondekeza njaa na wale walamba viatu, kuipa serikali wakati mgumu bungeni mpaka ijute kwa nini iliwaondoa kwenye uongozi wa chama.

Kama lengo ni kuwaondoa kabisa ndani ya chama, inamaana watapoteza ubunge wao na majimbo yao yatafanya uchaguzi mdogo. Kwa vile kwenye siasa, hakuna perment friends na permenent enemies, hawa jamaa watajinga Chadema na Chadema watawapokea kwa mikoni miwili na kuwasafisha, na hapa ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CCM. Chadema wasipowapokea watajiunga hata TLP au vywama vyovyote vidogo. Kele kwao hawa ni muingu watu, wanapendwa kuliko, hata wakijiunga chama mfu, wote watayarejesha majimbo yao tena kwa ushindi wa kishindo.

EL atatoa siri ya kujiuzulu kwake uwaziri mkuu na kubainisha wazi ni kumkingia kifua JK who had a cut kwenye Richmond. RA atatoa siri ya fictitious names kwenye umiliki wa Dowans na matumizi ya El Adawi, kumbe mmoja wa wamiliki ni mwanafamilia wa magogoni!. Chenge ndie pekee hatatoa siri ya Rada maana SFO wanaweza kumshukia tena, kwani master mind ni marehemu (Balali) na among benefisharies ni watu wa magogoni wa wawakati ule.

Kusema ukweli hii ni sinema nzuri inayotaka kuanza, ndio maana nikashauri, Chadema, wajikalia tuu pembeni na pop corn zao, waki watch hii vita vya panzi, na baada ya hapo, ndipo waje na hiyo listi ya ziada ili CCM waendelee ku dance Chadema tune!.

Kwanza wote watapewa sala ya toba na kutoa ushuhuda role yao ilikuwa ni nini, pili wataiboa CCM up, down, left, right and centre
 
Seriously?
Worse than political pathos.
These guys are on a mission, get it. They aren't searching for pity nor party refuge. Stop the paranoia people!

Hawa jamaa wanaotuhumiwa kwa uchafu (ufisadi) hawang'oki sisiemu wala nini, na wana jeuri ya kufanya hivyo. Kuna ufunguo mmoja nyeti wameshikilia, ukimwaga mboga wanamwaga ugali. Kumbuka kwamba RA alimsainisha risiti ya mshiko Mchungaji (mwanasiasa pia) Mtikila, Mtikila alipobisha hadharani kwamba hakuchukua chochote toka kwa RA ikabidi RA aoneshe risiti kwa waandishi wa habari, Mtikila kawa kimya mpaka leo. Wakimfukuza RA au EL katika chama, jamaa wataanika risiti zote za kuchukulia pesa walizosaini wakubwa wengine, ambazo ni zao la Kagoda na Richmond. Sipendi itokee hiyo, kwa sababu madhara yake yanajulikana. Kelele zitaendelea kupigwa mikutanoni lakini jamaa hawaondoki wala nini!
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom